sorry for that ,We are banned from entering the US 😩
Dah masikini mimi ,wewe ni kijana wa pili unaniita kijana toka mwaka upinduke .Ni warembo utachanganyikiwa kijana! Ukifika hotelini tu wahudumu warembo kuliko wadanganyi wa huko kwenu😂
Mkuu kwanini mmechagua trip ya Rwanda?"habari za leo.
Katika kuelekea safari yetu, ningependa kugusia machache kuhusu utaratibu wetu:
1. Mchanganyiko wa Washiriki: Safari yetu inajumuisha watoto, wazazi, na wanandoa. Hivyo, ustaarabu na lugha nzuri ni kipaumbele chetu.
2. Miongozo (Guidelines): Naandaa ratiba na sheria ndogo zitakazotuongoza ili kumlinda kila mshiriki na kuhakikisha maslahi ya wengi yanazingatiwa.
Lengo: Ni kufurahia pamoja bila kuathiri faragha au amani ya mwingine.
Ratiba kamili nitawatumia hivi punde. Asanteni kwa ushirikiano wenu."
Kwahiyo we unataka wa wapi? Basi itabidi uka mingle na ndugu zako waTz ukifika au subiri mombasa ukajiokotee kakenya👌🏽Dah masikini mimi ,wewe ni kijana wa pili unaniita kijana toka mwaka upinduke .
Nina historia nao nzuri kipindi kile jakaya alipokosana na mrefu ,I was among the people tuliokuwa tunawasaka kila mtaa na kuwadaka na kuwarejesha kwao kutokea kagera na niliwafaidi ila ni mijasusi dada ,believe me
Gorrila trekkingMkuu kwanini mmechagua trip ya Rwanda?
kuna nini kule cha kuvutia!
Anyway nadhani nitakuwa na mamawatano ikiwa mikataba yetu haitakuwa inaumiza upande wowote kati yetuKwahiyo we unataka wa wapi? Basi itabidi uka mingle na ndugu zako waTz ukifika au subiri mombasa ukajiokotee kakenya👌🏽
Bwashee ukute mamawa tano ni kidume kimekuja kuwachora tu na wewe uneshaanza tamba naeAnyway nadhani nitakuwa na mamawatano ikiwa mikataba yetu haitakuwa inaumiza upande wowote kati yetu
Panavutia sana, na ni suggestion ya watu wengi mwkaa jana tulienda wakataka irudiwe na sehemu tutakazoenda ni pamojaMkuu kwanini mmechagua trip ya Rwanda?
kuna nini kule cha kuvutia!
Kaka kiboko ninachowatembezeaga majinga ya hivyo yanayokuja PM alafu nikayatega nikameet nayo ,sidhani kama anaweza kuwa dume maana watampa historia yangu .Bwashee ukute mamawa tano ni kidume kimekuja kuwachora tu na wewe uneshaanza tamba nae
Hebu usinifurahishe tajiri, we beba ata vitukuu mzee sie tunakubeba tu😊Anyway nadhani nitakuwa na mamawatano ikiwa mikataba yetu haitakuwa inaumiza upande wowote kati yetu
HahahhaaaaaaaKaka kiboko ninachowatembezeaga majinga ya hivyo yanayokuja PM alafu nikayatega nikameet nayo ,sidhani kama anaweza kuwa dume maana watampa historia yangu .
Natafuta nisimulie shoga la JF lilivyojaa kwenye hamsini zangu ila kile kiboko nadhani hatokisahau na ndiyo maana kabadili na ID
duh, kwahiyo cha mchana na usiku najitegemea?Breakfast kila siku