Visit Rwanda - Twende Rwanda rafiki

Visit Rwanda - Twende Rwanda rafiki

View attachment 3533408
Kigali Genocide Memorial

Kila la heri on your trip, mimi nilifanya Solo trip. Nilifurahia sana Kigali.
IMG_6756.jpeg
 
Attachments

  • IMG_6757.jpeg
    IMG_6757.jpeg
    1.5 MB · Views: 4
Hujanielewa! Mimi naona kama hicho kiasi ni kidogo ina mimi nitoke Mlandizi hadi Kigali kwenda na kurudi bado kuna mizururo mingi huko Rwanda kwa kiasi hicho? Ndo maaana nawaza labda min -me anaongezea panapopelea.
Umeambiwa safari inaanzia Mwanza to Rwanda sio mlandizi..

Huko mlandizi toka kwa nauli yako binafsi ufike hadi Mwanza.
Halafu kwanini kila kitu mnahisi watu wanataka kuwatapeli? Mbona Seran maelezo yake yanaeleweka..!! Hebu acheni negativity zenu!!
 
Naona matapeli mnateteana !?
Wee nawe kama huna hela ya nauli sema tukuchangie..!!
Acha kuvuruga biashara za watu.
Roho mbaya mpaka kwa wanawake, mlitaka wajiuze?
 
View attachment 3532841
🌍 TUNARUDI TENA RWANDA 2026 🇷🇼
Kama ulikosa 2026, basi usipange kukosa tena!

Tunakupeleka kwenye safari ya kipekee ya Rwanda kuanzia
📅 Tarehe 4 hadi 7 Mwezi wa 4 (Aprili)

🔔 Fanya booking mapema ili kuepuka kukosa nafasi, kwani nafasi ni chache na mahitaji ni makubwa.

💰 Gharama: Tsh 390,000/= kwa mtu
📍 Kutokea Mwanza

💼 Gharama hii itahusisha:
✔️ Usafiri wa kwenda na kurudi
✔️ Hotel (malazi bora)
✔️ Breakfast
✔️ Guide fees
✔️ Entrance fees kwenye vivutio
✔️ Safari iliyoandaliwa kwa ratiba nzuri na ya kufurahia

✨ Kwa nini uchague sisi?
👉 Sisi ni Visit Lake Zone,
👉 Tunaandaa tour za kiwango cha juu
👉 Kwa gharama nafuu sana
👉 Huduma bora, usalama na experience ya kukumbukwa

📌 Hii ni safari ya burudani, mapumziko na kujifunza —
usipange kukosa!

📞 Wasiliana nasi sasa kwa booking na maelezo zaidi
Nafasi zikijaa, safari imejaa!
Sio kwamba nakuharibia biashara ila Rwanda ni kama hakuna life. People are soulless. Clubs hazina madem usiku. The worst nightlife and day activities in all cities. Mara mia uwapeleke watu Nairobi(wateja wa uchumi wa juu) au Kampala(wateja wa uchumi wa chini)
 
Rwanda hamna vivutio nikama tuu bukoba ilivyo kwanini msifanye tour ya ngorongoro watu wakajilaze
 
Sio kwamba nakuharibia biashara ila Rwanda ni kama hakuna life. People are soulless. Clubs hazina madem usiku. The worst nightlife and day activities in all cities. Mara mia uwapeleke watu Nairobi(wateja wa uchumi wa juu) au Kampala(wateja wa uchumi wa chini)
This is not my business, hatuendi kwaajili ya clubs na madem.. and ninatafuta watu wakujoin group letu tunasafiri sehemu nyingi, hii safari tumeshaenda last year watu wameipenda na wanataka irudiwe na haiwezi kughairrishwa tukitoka hii tunaingia dubai in Mombasa!
Thanks for your opinion☺️
 
Umeambiwa safari inaanzia Mwanza to Rwanda sio mlandizi..

Huko mlandizi toka kwa nauli yako binafsi ufike hadi Mwanza.
Halafu kwanini kila kitu mnahisi watu wanataka kuwatapeli? Mbona Seran maelezo yake yanaeleweka..!! Hebu acheni negativity zenu!!
Mtu mwenye pesa hanaga negative mindset za kishamba hizi, achana nao babes😌
 
Back
Top Bottom