[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna albino moja wa CBG alikuwa anavuta bangi hatari halafu fujo nyingi,kila Toleo ya simu ya Motorola anayo,tangu afike hadi amalize shule hajawahi kununua uniform ,anavaa yoyote atakayokuta kwenye kamba za kuanikia nguo
[emoji3][emoji3] kudouble Ni formula ya tz nzimaSiku ya wali vyombo kwenye meza vinajaa. Watu walikuwa wanadouble na kula viporo vya wali hata siku tatu.
Hapo hata nondo za mwalimu huwa zinadharaulikaKisa kingine kilichoniuzi ni watu kusoma tuition kabla ya kuja form 5 yaani naingia darasani nusu ya darasa wamemaliza topic za form 5 PCM Minaki na Chand wamesoma,wakati mi nimetoka kuchunga mbuzi[emoji16]
From Galanosi Tanga, zamu za kuchunga ng'ombe zilikuwa zinaniboa sana..
Waliopita pale kupiga CBA wanaelewa hili
Kwa tuliosoma old moshi nadhani Wali matunda na ugali nyama havikua ishu sana kwetu mkuu akiwa mwl angalo, sijajua kwa sasaSiku ya wali vyombo kwenye meza vinajaa. Watu walikuwa wanadouble na kula viporo vya wali hata siku tatu.
Kisa kingine kilichoniuzi ni watu kusoma tuition kabla ya kuja form 5 yaani naingia darasani nusu ya darasa wamemaliza topic za form 5 PCM Minaki na Chand wamesoma,wakati mi nimetoka kuchunga mbuzi😁
Huyo ukijichanganya kumgusa ni sawa na umebeba mkaa wa moto kichwani[emoji16]
Jokate wa juzi mi nimetoka huko 2012...maji ni suala mtambuka KisaraweJokate kawaletea maji au bado mnatumia maji ya pond?
Alikuwa anafanya tukio gani siku ya waliSengerema high school kipind hicho kulikua na maza mpishi tunamuita Bibi
Siku za wali ndo tulikua tunamjua vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ihungo. Pale Rugambwa kuna vyoo vinaitwa Ihungo. Vipo upande ilipo shule yenu. Ukiwa kwenye hivyo vyoo unaona mlima ilipo shule yenu.Ihungo mastery for rpm..Form 5 yote mtatumia kufweka na kufanya usafi wa mazingira
ahahaha rugambwa mapatner wetuIhungo. Pale Rugambwa kuna vyoo vinaitwa Ihungo. Vipo upande ilipo shule yenu. Ukiwa kwenye hivyo vyoo unaona mlima ilipo shule yenu.