Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,280
Reaction score
4,579
Tupia kisa chako kilichokua kinakuudhi kipindi upo high school

Cha kwangu kilichokua kinaniudhi ni ile tabia ya baadhi ya wanafunzi maarufu kama wasongo kujua ratiba zote za shule kubwa kubwa mf Feza schools, Tabora boys , Tosamaganga, Minaki n.k

Tabia hiyo ilikua inaniudhi Sana ingawa nilikuwa vizuri kimasomo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichonikera High school pia ni ile tabia ya Jacky kutupanga boys wa form 5 ECA. Hadi tuna graduate form 6, Jacky alikua amesha tembea na sisi boys wa ECA wote.

Popote ulipo Jacky, ulichotufanyia sio fresh wala nn.
 
Mimi nilikuwa na mabifu na walimu kisa nilkuwa na dem mkali shule nzima wanamtolea macho. Walimu waliokuwa wanamtaka walinichukia kiasi kuwa nikipita tu hata mbele ya office wanafungua file langu nakuanza kujadili.

Nakumbuka ilifikia hatua classmates wangu wakitaka kudodge clac, wahakikishe kwanza kama mimi sija dodge. Maana nilikuwa nikidodge tu lazima nitaftwe. Na wakinikosa wanamtafta GF wangu. Wakimkosa wanajua tupo wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna albino moja wa CBG alikuwa anavuta bangi hatari halafu fujo nyingi,kila Toleo ya simu ya Motorola anayo,tangu afike hadi amalize shule hajawahi kununua uniform ,anavaa yoyote atakayokuta kwenye kamba za kuanikia nguo
 
Mi ambacho kiliniboa ni uchafu wa vyoo yaani kabla hujaingia chooni lazima nguo uvue nje utundike juu ya mti😁 wadau walitembea na nguo nikatoka uchi,nikajifunza kusoma mpaka usiku na kujisaidia usiku wa manane😁😁
 
Back
Top Bottom