Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Why mnifuate PM kunitukana as if nimetumia pesa zenu? Natumia simu yangu,najiwekea bundle,natumia muda wangu. Sijaomba anything from yu. Still watu wanakuja andika texts za hovyo kwangu. Its just ok hamna shida.
Tapeli wacha kuchezea akili za watu, hii story yako ume-copy somewhere, baada ya kujua umeshtukiwa ndio maana umepotea, unazuga unaumwa at the same time unaanzisha thread nyingine kuhusu Corona, kama unaumwa kweli hiyo thread ya Corona uliandikiwa na nani?

Wewe ni muongo.
 
Kuna jamaa anatokea huko siku moja aliniambia ili ujiji kuendelee zinahitajika bar na guest zifunguliwe lakini wazee wa huko hawataki , si ruhusa kufungua biashara hizo.
true mkuu nilienda kikazi kule baa na gesti zipo mwanga kukle ujiji unafanya kazi kutwa kupumzika ni mwanga, mwenyeji mmoja alituambia kuna mtu alifungua baa akakomaliwa mpaka akaifunga
 
Story inafundisha Mkuu imalizie haijalishi ni ya kutunga ama ya kweli maana naisoma bure.

Pesa pesa pesa.

Kati ya miiko niliyojiwekea nitafute pesa initumikie sio niitumikie pesa. Utajiri wa namna hii ni ungese, yaani niwe na pesa afu sina uhuru, furaha na mamlaka nazo, ni wazembe tu ndo wataufurahia utajiri wa namna hii.

Siku zote namtegemea Mungu vipesa vya kubadilisha mboga vipo, nikitaka papuchi zipo za kutosha, nina amani na furaha na familia yangu.

Eeeh mwenyezi Mungu asante kwa neema zako kumbe kuna wengine wanapitia magumu kwa kuendekeza tamaa na kushawishika vibaya.
 
Part 4 bado?
Rafiki vile umechoka kusubiria part 4!😄😄😄
EsxCMdpXAAUEiYs.jpg
 
Why mnifuate PM kunitukana as if nimetumia pesa zenu? Natumia simu yangu,najiwekea bundle,natumia muda wangu. Sijaomba anything from yu. Still watu wanakuja andika texts za hovyo kwangu. Its just ok hamna shida.
Wasikupotezee mda wako hapa twende Telegram ukaungane na Lwanda kule ni full raha
 
Back
Top Bottom