Sasa wanaishije Kama hakuna gesti? Inamaana ukimpata anayeufanya moyo wako dhaifu unampeleka wapi?true mkuu nilienda kikazi kule baa na gesti zipo mwanga kukle ujiji unafanya kazi kutwa kupumzika ni mwanga, mwenyeji mmoja alituambia kuna mtu alifungua baa akakomaliwa mpaka akaifunga