Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,434
- 14,900
Najaribu kuwaza tu, hivi mbinguni bila walevi, ni Nani atakua anamwambia ukweli Mungu?Achana na pombe mkuu. Walevi hawafiki mbinguni
Najaribu kuwaza tu, hivi mbinguni bila walevi, ni Nani atakua anamwambia ukweli Mungu?Achana na pombe mkuu. Walevi hawafiki mbinguni
Na wewe unakunywa miss dah!Drink responsibly, drink wiser pombe sio chai jamani...
Kidogo sasa!!Na wewe unakunywa miss dah!
Ulisalimika?Siku ingine nilifakamia sana pombe mchanganyiko nilikuwa na binamu yangu wakati tunaondoka tupo ndani ya daladala mimi tu ndo nilikuwa muongeaji watu wote vicheko. Tuliposhuka nikawa naenda njia ambayo sio binamu yangu akaniita.
Tulipofika nyumbani nikasema ngoja nikanywe ya mwisho wakati narudi nikapotea tena nyumbani nikashtuka kuwa nimepotea nyumba baada ya kuona sifunguliwi mlango.
Aina gani?Beer 20
Ulikunywa bia ngapi hadi unasahau nyumba?Mwaka 2008, Nilikuwa Mbeya Tukuyu Kikazi, Nilikuwa nimetokea Mbeya Mjini ambapo Kuna baridi, Dose yangu ilikuwa Tusker Kumi,
Kwenda Tukuyu Nikaendelea na dose ileile bila kugundua kuwa Hali ya hewa ya Tukuyu Ni Tofauti na Mbeya Mjini. Na Pombe. Hukolea kwenye Joto, Tukuyu Kuna Joto.
Mzee Mzima Nikavesha Kama kawaida, mpaka saa tano FULANI hivi, Sasa kimbembe Nikasahau Guest, Nikaenda kugonga Nyumba ambayo Inaangaliana na Guest Huku Povu likinitoka kwanini wafunge na Mimi bado sijarudi.
Ebwana mlango ulifunguliwa na Mbaba mmoja akiwa na njemba tatu (Watoto wake) Nilichezea vitasa vyakutosha kila nikiweka Gurd wapi.
Niliokolewa na Staff wenzangu Baada ya kuhisi kuwa sijarudi na wanasikia kelele za sauti yangu.
Asee hiyo ilikuwa moja Ila Pombe kuacha bado nafikiria.
Mmmh!a woman drinking beerKidogo sasa!!
hii corona kitu gani pale rose garden tunaita nyege bomu
[emoji3] walevi wana ubunifu sanahii corona kitu gani pale rose garden tunaita nyege bomu
kwasababu pombe wanazokunywa zimevumbuliwa na wazungu ukitaka uwamini nenda matako bar kwenye pombe za kienyeji uwone watu wanavyocheza singeli na kupiga kikwao tuuh kwenye , unakumbuka yule mzungu aliongeaga kiswahili baada ya kunywa mbege hile ilisababishwa na pombe iliotengenezwa na wachagaHivi kwa nini walevi wakinywa pombe wanaongea sana kiingereza kuna uhusiano gani kati ya pombe na kiingereza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka 2008, Nilikuwa Mbeya Tukuyu Kikazi, Nilikuwa nimetokea Mbeya Mjini ambapo Kuna baridi, Dose yangu ilikuwa Tusker Kumi,
Kwenda Tukuyu Nikaendelea na dose ileile bila kugundua kuwa Hali ya hewa ya Tukuyu Ni Tofauti na Mbeya Mjini. Na Pombe. Hukolea kwenye Joto, Tukuyu Kuna Joto.
Mzee Mzima Nikavesha Kama kawaida, mpaka saa tano FULANI hivi, Sasa kimbembe Nikasahau Guest, Nikaenda kugonga Nyumba ambayo Inaangaliana na Guest Huku Povu likinitoka kwanini wafunge na Mimi bado sijarudi.
Ebwana mlango ulifunguliwa na Mbaba mmoja akiwa na njemba tatu (Watoto wake) Nilichezea vitasa vyakutosha kila nikiweka Gurd wapi.
Niliokolewa na Staff wenzangu Baada ya kuhisi kuwa sijarudi na wanasikia kelele za sauti yangu.
Asee hiyo ilikuwa moja Ila Pombe kuacha bado nafikiria.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana mkuu kumbe pombe ina faida kama ndio ivyo inawafanya watu wajuwe kiingereza vzurkwasababu bombe wanazokunywa zimevumbuliwa na wazungu ukitaka uwamini nenda matako bar kwenye pombe za kienyeji uwone watu wanavyocheza singeli na kupiga kikwao tuuh kwenye , unakumbuka yule mzungu aliongeaga kiswahili baada ya kunywa mbege hile ilisababishwa na pombe iliotengenezwa na wachaga