Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,767
- 26,192
Miaka 5 iliyopita nishawahi kunywa pombe kupita kipimo na ukizingatia nilikuwa mwenyewe(no kampani), ilipofika mida mibovu nikaopoa mlupo(changu) kuamka asubuhi kumbe nmelala na mbibi na nmemla.
Aiseee niliingia aibu sana na baada ya siku mbili tatu nikaugua gonorea, ila pombe mpaka sasa bado sijaacha nmejifunza namna ya kuihendo
Aiseee niliingia aibu sana na baada ya siku mbili tatu nikaugua gonorea, ila pombe mpaka sasa bado sijaacha nmejifunza namna ya kuihendo