Kweli nimedhamiria this time, naamini ni mwanzo mzuri na nitajitahidi sanaumejitahidi sana[emoji3][emoji3][emoji3]

Ongeza sukari kidogo mkuuJamani pombe we acha tu.
Kule kijijini Kuna pombe inaitwa dengerua au boha. Hii pombe Ni very potent. Wengi wanainywea bar/vilabuni lakini wale watu matawi wa kijijini Kama walimu, daktari, nesi na mchungaji huwa Wana agiza na kuzama ndani ya nyumba ya mwalimu mmoja na kuanza kukata kiu.
Kuna siku moja shetani alitembelea kile Kijiji na kwa bahati mbaya team matawi walikua wanakata kiu Kama kawaida. Walikuweko walimu watatu, nesi wa Kijiji na mchungaji nae alikwenda kugida akiamini Hawa watamtunzia Siri.
Wakati wanaendelea kukata kiu shetani akamnongoneza mchungaji kwamba aondoke na yule nesi wakapumzike kwenye migomba kwa dharula. Nesi nae hakupenda kumpunja mchungaji starehe aliyoipenda pamoja na utu uzima wake.
Walivyokua wanatumia sign language na kukonyezana walidhani wale wengine hawaoni. Giza lilipoingia wakaona umefika muda muafaka.
Mara nesi akaaga anatoka, dakika mbili nyingi mchungaji nae akajifanya ametosheka. Nesi kwake Kuna watoto mchungaji nae kwake Kuna mke , watoto na kijukuu kimoja hivo wakaamua waende green lodge a.k.a kwenye migomba kupeana uroda.
Mchungaji alivua nguo zote ili zisichafuke kwenye zoezi Hilo ovu otherwise wife atastuka. Nesi nae kaamua kuvua zote ili zisiingie udongo. Wakaanza kupeana mahaba, kumbe mwalimu mmoja alikua anamuwania yule nesi sasa kitendo Cha nesi kuchukuliwa kirahisi rahisi na mchungaji kilimuudhi sana hivyo akaona awakomeshe once and for all. Yeye aliwafuatia nyuma tartiib na walipokua kwenye mchakato wa starehe yule mwalimu mkware akachukua nguo zao zote Hadi boxer ya mchungaji na kufuli na sidiria za nesi na pombe ikamtuma kuzipeleka LIVE kwa mke wa mchungaji. Alipofika alimwambia mama mchungaji mumeo Ni mzinzi Kama huamini nguo zake hizi hapa na za huyo kimada wake.
Kile kitendo Cha nguo zao kuchukuliwa mchungaji hakukiona maana alikua anakaribia kufika Mawenzi lakini nesi aliona. Kabla hata mchungaji hajafika Mawenzi vizuri nesi alimwambia mwalimu Fulani amechukua nguo zao na kuondoka zazo. Ile habari ulikifanya kitendea uroda Cha mchungaji kusinyaa chap Kama Kobe anavyoingiza kichwa kwenye kasa lake.
Kwanza kabisa waliondoka pale vile vile wakiwa uchi lakini hakuna aliyemtamani mwenzake Tena. Mchungaji pombe zilinitoka na alikua anamuona nesi Kama Dada yake mkubwa.
Mchungaji hakurudi nyumbani siku Ile ilhali akiwa uchi, nesi alizubaa na usiku wa manane akarudi kwake na kuapa hatarudia pombe Tena akirudia afe.
Mchungaji haikueleweka Ila saa mbili asubuhi kesho yake akiwa na nguo zisizokua zake na zilizombana sana alionekana kwa mkuu wa Jimbo na barua ya kujiuzulu uchungaji bila sababu za msingi.
Huku nyumbani nesi nae Hana raha maana nguo zake pamoja na chupi na sidiria viko kwa mbaya wake.
Ukitaka kumuumiza mwanamke wa kipare kisaikolojia chukua chupi yake ambayo haijafuliwa halafu tokomea nayo. Sasa huyu chupi iko kwa mbaya wake ataanzaje? Sio chupi tu na khanga na gauni na sidiria.
Ina maana mke wa mchungaji alikua amemuweka nesi anapomtaka.
Itaendelea...........
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitu kama mwaka 2012 hivi nipo na wanachuo wenzangu wawili tukaenda zetu Savanna lounge ya Tazara kwa usafiri binafsi. Piga sana vyombo, baadae kuna pisi kali 3 (marafiki) zikajoin na sisi gambe likaendelea. Hapo kila mmoja ana wake. Imefika mida ya saa 9 usiku vyombo vishakubali wote tukakubaliana twende lodge kila mtu chumba chake na pisi yake. Safari ya kwenda kinyaiya lodge river side ikaanza, mmoja kati ya washkaji zangu akiwa dereva kwa wakati huo (nlilewa sana), wengine kila mmoja kampakata wake. Aisee, hata TOT sikufika vyombo vikazidi kupanda kichwani nikazima mazima, sielewi kitu na nikagoma katakata kushuka kwenda lodge. Vioo vikashushwa kidogo, nikaachwa nimelala zangu kwenye gari parking ya pale kinyaiya, jamaa na zile pisi wakazama ndani. Saa nne asubuhi wakatoka wakaniamsha, tukapiga michemsho kwa pamoja tukasepa. Baadae nakuja kupewa story kua mwanangu mmoja alipiga threesome, na mwingine akawa na wake. Shughuli ikaishia hapo
Watu wanaongea sana mara usinywe na stress, sijui kunywa isiyo na hangover, wengine kunywa laini achana na ngumuIli kuendelea kuitawala inabidi ukae nayo mbali kipindi ukiwa na stress la sivyo itakugeuka hutoamini kama ni wewe.
Nguo zisizo zake na zimembana sanaJamani pombe we acha tu.
Kule kijijini Kuna pombe inaitwa dengerua au boha. Hii pombe Ni very potent. Wengi wanainywea bar/vilabuni lakini wale watu matawi wa kijijini Kama walimu, daktari, nesi na mchungaji huwa Wana agiza na kuzama ndani ya nyumba ya mwalimu mmoja na kuanza kukata kiu.
Kuna siku moja shetani alitembelea kile Kijiji na kwa bahati mbaya team matawi walikua wanakata kiu Kama kawaida. Walikuweko walimu watatu, nesi wa Kijiji na mchungaji nae alikwenda kugida akiamini Hawa watamtunzia Siri.
Wakati wanaendelea kukata kiu shetani akamnongoneza mchungaji kwamba aondoke na yule nesi wakapumzike kwenye migomba kwa dharula. Nesi nae hakupenda kumpunja mchungaji starehe aliyoipenda pamoja na utu uzima wake.
Walivyokua wanatumia sign language na kukonyezana walidhani wale wengine hawaoni. Giza lilipoingia wakaona umefika muda muafaka.
Mara nesi akaaga anatoka, dakika mbili nyingi mchungaji nae akajifanya ametosheka. Nesi kwake Kuna watoto mchungaji nae kwake Kuna mke , watoto na kijukuu kimoja hivo wakaamua waende green lodge a.k.a kwenye migomba kupeana uroda.
Mchungaji alivua nguo zote ili zisichafuke kwenye zoezi Hilo ovu otherwise wife atastuka. Nesi nae kaamua kuvua zote ili zisiingie udongo. Wakaanza kupeana mahaba, kumbe mwalimu mmoja alikua anamuwania yule nesi sasa kitendo Cha nesi kuchukuliwa kirahisi rahisi na mchungaji kilimuudhi sana hivyo akaona awakomeshe once and for all. Yeye aliwafuatia nyuma tartiib na walipokua kwenye mchakato wa starehe yule mwalimu mkware akachukua nguo zao zote Hadi boxer ya mchungaji na kufuli na sidiria za nesi na pombe ikamtuma kuzipeleka LIVE kwa mke wa mchungaji. Alipofika alimwambia mama mchungaji mumeo Ni mzinzi Kama huamini nguo zake hizi hapa na za huyo kimada wake.
Kile kitendo Cha nguo zao kuchukuliwa mchungaji hakukiona maana alikua anakaribia kufika Mawenzi lakini nesi aliona. Kabla hata mchungaji hajafika Mawenzi vizuri nesi alimwambia mwalimu Fulani amechukua nguo zao na kuondoka zazo. Ile habari ulikifanya kitendea uroda Cha mchungaji kusinyaa chap Kama Kobe anavyoingiza kichwa kwenye kasa lake.
Kwanza kabisa waliondoka pale vile vile wakiwa uchi lakini hakuna aliyemtamani mwenzake Tena. Mchungaji pombe zilinitoka na alikua anamuona nesi Kama Dada yake mkubwa.
Mchungaji hakurudi nyumbani siku Ile ilhali akiwa uchi, nesi alizubaa na usiku wa manane akarudi kwake na kuapa hatarudia pombe Tena akirudia afe.
Mchungaji haikueleweka Ila saa mbili asubuhi kesho yake akiwa na nguo zisizokua zake na zilizombana sana alionekana kwa mkuu wa Jimbo na barua ya kujiuzulu uchungaji bila sababu za msingi.
Huku nyumbani nesi nae Hana raha maana nguo zake pamoja na chupi na sidiria viko kwa mbaya wake.
Ukitaka kumuumiza mwanamke wa kipare kisaikolojia chukua chupi yake ambayo haijafuliwa halafu tokomea nayo. Sasa huyu chupi iko kwa mbaya wake ataanzaje? Sio chupi tu na khanga na gauni na sidiria.
Ina maana mke wa mchungaji alikua amemuweka nesi anapomtaka.
Itaendelea...........
Najua unajisikia vizuri sana kiakili na kimwiliKweli nimedhamiria this time, naamini ni mwanzo mzuri na nitajitahidi sana
Mkuu niko poa sana kuliko kawaida, nikitoka job jioni napata msosi na pepsi naingia gheto, maziwa fresh hayakauki ndani. Mungu asaidie tu.Najua unajisikia vizuri sana kiakili na kimwili
Mkuu isiyo na hangover labda soda tu.... lakini ukiwa umevurugwa na ukanywa kiasi kikubwa cha pombe ni ngumu kuvumilia vitu vidogo vidogo unaeza fanya vitu usivyotarajia amini.asiye na kichwa cha pombe huwa haiitaji nuclear science kumtambua.Watu wanaongea sana mara usinywe na stress, sijui kunywa isiyo na hangover, wengine kunywa laini achana na ngumu
Nyie bwana lazima tukubaliane kuna vichwa pombe hazitutaki tu[emoji23][emoji23]
Sijui ukiamka na hangover kunywa maji mengi, kula supu nzito bwaana bwanaa yote tumefanya na unabaki kutesekea hangover siku mbili kama unaumwa
Mimi naona tunashindwa kukubali tu ukweli sio kila jambo ni la kila mtu
Vichwa vingine pombe tubaki kuisikia kwa wenye nayo
Wawili ni ajali zilizosababishwa na Pombe maana wote hawajagongwa...wamejipiga tu wenyewe pembeni huko.Ilikuwaje mkuu
🤣🤣🤣😅😅😅😅😂😂😂
Wawili walikua wanadrive na walitoka wenyewe kwenye njia hawakugongwa. Huyu mmoja alikufa kama Mose Radio alisukumwa Club akadondokea kisogo.. sababu ya Pombe alishindwa kuji control...Hakuna mwenye 33 yrs hapo na wawili wameacha ndoa changa na watoto wadogo under 3yrs....walikuwa wanadrive?
Aisee 🤣🤣🤣[emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu sio tu uangalie upepo bali nakushauri acha kabisa ni kweli sote duniani tutakufa lakini isiwe vifo vya kizembe hivi, mi binafsi kwa miaka mitatu nimeondokewa na washkaji watatu sababu ya pombe. Mmoja alifariki kwa ajali na wawili ilikua hospitali baada ya baadhi ya viungo kugoma kufanya kazi zake ndani ya mwili. Kuna mshkaji wangu mwingine alipata ajali ya bodaboda tena aliomba funguo mbele yangu baada ya dk 2 tunaletewa habari jamaa kaanguka nayo kavunjika mguu mara mbili, nilikua naenda kumtembelea pale Muhimbili MOI maana alikaa mwezi mzima kabla ya kufanyiwa upasuaji.Wawili walikua wanadrive na walitoka wenyewe kwenye njia hawakugongwa.
Huyu mmoja alikufa kama Mose Radio alisukumwa Club akadondokea kisogo ..sababu ya Pombe alishindwa kuji control...Hakuna mwenye 33 yrs hapo na wawili wameacha ndoa changa na watoto wadogo under 3yrs....
Mimi nikihesabu ajali nilizokutana nazo kwenye gambe inabidi nitulie kwanza niangalie upepo labda kipindi cha pili upepo utabadilika niingie sub..lakini kwa sasa I can smell death mkuu...raia wenyewe wanaongea mineno mingi sana ya uchuro...pia nikutana na hao shemeji zangu nafeel guilty sana.
Pombe zikizidi kifo nje njeWawili walikua wanadrive na walitoka wenyewe kwenye njia hawakugongwa.
Huyu mmoja alikufa kama Mose Radio alisukumwa Club akadondokea kisogo ..sababu ya Pombe alishindwa kuji control...Hakuna mwenye 33 yrs hapo na wawili wameacha ndoa changa na watoto wadogo under 3yrs....
Mimi nikihesabu ajali nilizokutana nazo kwenye gambe inabidi nitulie kwanza niangalie upepo labda kipindi cha pili upepo utabadilika niingie sub..lakini kwa sasa I can smell death mkuu...raia wenyewe wanaongea mineno mingi sana ya uchuro...pia nikutana na hao shemeji zangu nafeel guilty sana.
Watu wanachulia[emoji23][emoji23]Wawili walikua wanadrive na walitoka wenyewe kwenye njia hawakugongwa.