Yuko jamaa yangu mtu wa Kanda ya ziwa kutoka kabila kubwa la washamba Ila Wana upendo sana alinifuata twende tukayapige maji maeneo ya Sinza. Kweli tulikwenda pale kwenye bar ya mtangazaji mmoja maarufu. Tukapaki kila mtu gari lake na kuanza kufakamia mipombe. Kumbuka pale Kuna warembo wengi weupe, na weupe ndio ugonjwa wa Hawa ndugu zangu washamba. Mimi kufika saa nne nikawa nimetosheka, nikawasha motokari yangu na kurudi zangu Kimara. Yule mshamba aliendelea kunywa kiasi kwamba aliondoka na gari lake na kuendesha kilevilevi usiku wa manane mpaka polisi wakamstukia na kumkamata, Kisha wakaendesha gari lake mpaka Urafiki polisi. Kufika hawakua na ugomvi na jamaa yangu, Ila walimwambia aache gari polisi achukue taxi halafu atalifuata gari pombe zikimtoka. Jamaa hakua mbishi, alichukua taxi mpaka kwake. Kumbe alikua keshapoteza kumbukumbu. Asubuhi alipoamka gari hakuliona Ila alimdanganya wife kwamba kaliacha gereji hakujumbuka kwamba aliliacha kwa vijana wa Tibaigana. Jamaa alianza kutumia vitz ya wife siku ya kwanza Hadi wiki huku akijiuliza gari lake aliliacha wapi....
Baada ya wiki wife akiwa kwenye daladala ndio akaona lile gari pale Urafiki na kwenda kuuliza gari mbona liko pale?
Polisi wakamuambia Ni la mlevi Fulani walimkuta na changudoa wawili wako barabarani wanamhudumia kwa midomo wakiwa kwenye gari.
Itaendelea......