Vipotabo vs nyaminyama

Vipotabo vs nyaminyama

Uzuri wa Tukunyema hata ikichomoka ukiwa kwenye mpando wa kutafuta kilele cha kibo na mawenzi...

unaweza usijue na hata ukijua...sio inshu... unamalalizia humohumo kwenye nyama nyama za pajama yake...

Hizi spoku zingine zisizo na mnofu Ikichomoka inagonga mfupa...hata stata inakata!
Hizi spoku zingine zisizo na mnofu Ikichomoka inagonga mfupa...hata stata inakata!😀😀😀
 
PEPO YA VIPOTABOU

beti wa 1.
Umbo lao la madoido, machoni linapendeza,Warembo wa mistari, tabasamu lanawiri.Hawana mambo ya kido, kila hatua huongoza,Wana yao siri, pepo yao iko wazi.

Ubeti wa 2.
Wakisimama uwanjani, kicheko kinarindima,Hawataki majivuno, maisha wanayajua.Wamo ndani ya amani, kila saa wanasujudu,Wana yao siri, pepo yao iko wazi.

Ubeti wa 3
Mioyo yao ni safi, haina chuki moyoni,Wanaishi kwa upendo, marafiki wa kweli.Wajuzi wa kila kofi, huko kwao peponi,Wana yao siri, pepo yao iko wazi.

Ubeti wa 4.
Urefu sio kigezo, cha kupata mafanikio,Vipotabo vina nguvu, akili zimeshiba.Hawatishwi na vikwazo, wana vikuu vicheko,Wana yao siri, pepo yao iko wazi.
Ubeti wa 5
Tamati hapa nafunga, kalamu iweke chini,Sifa zao zimesambaa, kote duniani.Wimbo wao ninatunga, uingie masikioni,Wana yao siri, pepo yao iko wazi.
 
PEPO YA MIJIMAMA

Ubeti wa 1
Umbo lao la kishua, machoni linapendeza,Wamejaa bobezi, busara na ukarimu.Kila jambo wanajua, migogoro hutuliza,Wana yao siri, pepo yao ina ladha.

Ubeti wa 2
Mioyo yao ni upendo, hawana chuki moyoni,Walezi wa kila jamii, mikono imebarikiwa.Wana weledi wa mwendo, utulivu nyumbani,Wana yao siri, pepo yao ina ladha.

Ubeti wa 3
Hawayumbishwi na upepo, msimamo wao thabiti,Wanasimama imara, dhoruba zikija kote.Hawana mambo ya papo, maisha kama doti,Wana yao siri, pepo yao ina ladha.

Ubeti wa 4
Wakitokeza ukumbini, madoido yanarindima,Mavazi yao ya heshima, kicheko kimejaa nuru.Wamo ndani ya amani, kila kukicha ni wema,Wana yao siri, pepo yao ina ladha.

Ubeti wa 5
Tamati hapa nafunga, kalamu iweke chini,Sifa zao zimesambaa, kote humu nchini.Wimbo wao ninatunga, ukae masikioni,Wana yao siri, pepo yao ina ladha.
 
GrIDdxmXEAATDf7

Hiko chembamba na chuchu zilivyosimama kama hivi kwangu nawaeleza hivi.

Kwanza kama kuna sanamu lao linalopaswa kujenga mimi nitachanga sementi zote na lori 10 za mchanga

Pili, popote pale walipo ingepitishwa kabisa sheria ya kimataifa ya kupewa kamandi ya jeshi na waongeze ulinzi hadi askari wa majini

Tatu na mwisho. Hao wanawake wote wa hivyo waende peponi, dhambi zao zote nizitumikie mimi

Aisee huwa wananichanganya sana isivyo kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom