Vipodozi vya Victoria's Secret

Vipodozi vya Victoria's Secret

Sihitaji kutumia vipodozi vya VS. Majuu kwanza wala si big deal kihivyo.

Na Kisura wangu hatumii yaho madudu ya bei rahisi. Anatumia L'Occitane (huwezi hata kulitamka wewe na wala vumbi wenzio)

Siku zote makuli huwa wanatumia pesa zao vibaya.
 
Apo umetaja wanawake wawili tu.
6 ni madume yenye duplicate IDs.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mnapenda vitu vya Kimarekani eeeh....

Well, dakika mbili kutoka nyumbani kwangu kuna duka la VS. Na hapa mjini yamejaa tele.

Sijawahi kuingiamo. Najua wanauza intimate apparels etc.

Sasa kumbe na watu wa mavumbini wanahusudu mambo ya Kimarekani halafu kutwa kucha kujifanya kuongea mbovu dhidi ya wabeba maboksi:smile-big:

Acha Dharau na kujidai Nyani wewe
 
Last edited by a moderator:
Unataka mzigo mkubwa? Tunaweza kuongea biashara nikakuchukulia na kukutumia bongo,unanilipa changu siku unayoutia mzigo mkononi

Sio mzigo mkubwa sana mkuu... wa kawaida sana!!
 
Endeleeni kutumia vipodozi vya kifaransa na kichina ambavo kiafya haviko poa zaidi ya kuwababua ngozi zenu na kupata miuvimbe isiyoelezeka kisa ni elfu tano mtakoma sana

hahahaha, muingiliano wa kimaslahi!
 
Halafu charminglady ukianzisha hii biashara inalipa sana. imagine body spray ya vict s pale mikocheni Arise buti nimenunua kwa 35,000 na im not sure km ni genuine. bibie ukileta mzigo wa ukweeee nishtue nikuungishe
 
Last edited by a moderator:
Halafu charminglady ukianzisha hii biashara inalipa sana. imagine body spray ya vict s pale mikocheni Arise buti nimenunua kwa 35,000 na im not sure km ni genuine. bibie ukileta mzigo wa ukweeee nishtue nikuungishe

Hmm hela zote hizo? It better smell good and last all day
 
Habari za jioni mabibi na mababu wa jukwaa hili.........

Nauliza wapi ninaweza kupata Vipodozi vya Victoria's Secret kwa bei ya jumla kwa Dar Es Salaam.

Na je nje ya nchi huwa vinapatikana wapi mwenye kujua ama mwenye uzoefu navyo tafadhali anijulishe.

Wasalaam CL

Mimi nina victoria secret body mist original jumla unataka kuanzia ngapi?
 
Halafu charminglady ukianzisha hii biashara inalipa sana. imagine body spray ya vict s pale mikocheni Arise buti nimenunua kwa 35,000 na im not sure km ni genuine. bibie ukileta mzigo wa ukweeee nishtue nikuungishe

Lol ningishe na mie
 
Last edited by a moderator:
mmmh mbona sivifahamu jama ngoja niulize
 
Nenda Mary rose.. Utavipata.!!

Wana vipodozi vizuri sana ila feki navyo vipo.... Kuwa muangalifu tuu mpendwa...!!! Kila la heri..!!
 
Back
Top Bottom