Mkuu pole kwa changamoto;Hilo tatizo unaweza kuupambana nalo,kwanza badili lifestyle yako kuanzia aina za vyakula,mazoezi,tumia sana bidhaa zenye Calcium na Vitamin D.Pia kuna kitu wanaitaga Ginseng ukipata hio unaweza ona matokeo. Cha msingi ni kwamba ukianza hio therapy akili yako isiwe kwenda kupima kwa daktari bali ni kwenda kupima kwa mkeo.Ukipimia kwa mkeo matokeo yatakuwa yana raha yake.
Vile badili namna ya kufanya sex, tumia zaidi missionary style na baada ya kukamua unabaki hapo hapo mpaka uhakikishe zimefika mwisho wa kizazi.Hata kama ziko mbili huwa zinakuwa na akili moja tu ya kuwahi ndani kutauta joto.
Epuka Porn, mustarbation, Pombe, Sigara, na kama wewe ni overwenight sasa ni wakti wa kufikiri kupunguza huo mwili uendane na height yako na age yako.
All the best ndugu.