vipi naweza pata mkopo bila collateral | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vipi naweza pata mkopo bila collateral

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Yaka, Jan 16, 2012.

 1. Yaka

  Yaka JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 967
  Likes Received: 708
  Trophy Points: 180
  salam wadau. nilikuwa naomba anybody with ana idea namnm,kopo bila ya collateral wala loan fees. Nina good idea ktk nyumba ambayo ina vyumba 16 kila kimoja na sebule Mbezi tangibovu. Inauzwa mil 35 nataka kununua afu niwe napangisha watu. Msaada tafadhali.
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni nyumba au kiwanja??
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ukiwa na good credit score huna haja ya collateral.

  But then again, maybe there is no credit rating in Tanzania.
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu pole sanakwa hilo.

  - Kwa Tanzania yetu si dhani kama hilolinawezekana, tena kwa mtu fresh kama wewe.Ila kwa wafanya biashara wakubwa huwa wana kitu kinaitwa overdraft ila walehuwa wanaruhisiwa kwa sababu ni watu wana investment za kufa mtu na ni watuambao wanaaminika sana na benki.

  - kwa mtu ambae huyawahi kopa nivigumu sana mkuu,
  - Ila kuna kitu huwa kinaitwa credithistory ukiwa mkopaji na mrejshaji mzuru kuna sehemu hufika huwa hawakosind sana kuweka vitu rehani.

  MKUU VILEVILE HUO MKOPO WA KUNUNUANYUMBA SI DHANI KAMA UNAWEZA PATA, LABUDA KAMA UNATAKA KUNUNUA ZA NHC MAKE WALEWAMEINGIA MKATABA NA NHC.

  -Biashara ya nyumba hutengeneza faidapolepole sana na ndo maana mikopo ya ujenzi wanyumba huchua miaka mingi sanakurejeshwa.

  - Mkuu kingine ni kwamba hiyo sio goodaidea, hiyo ni aidea ya kawaida kabisa, kuna good business aidea ambazo kweliukienda hata kupresent mahali watu watakuvulia kofia.

  - tujifunze kutofautisha kati yabusiness aidea na sound business aidea, mkuu huwezi kwenda kwenye paneliukaenda kupresent aidea ya kununua bajaji za kuzungusha town, watu watakucheka.

  - Ukiwa na sound business aidea,unaweza pata hata watu wa kuingia nao ubia wawe na wa hapahapa bongo au hatakutoka nje ya nchi, ila lazima iwe aidea iliyo enda shule mkuu, ambayoukipresent inakuwa inakubalika 100%.

  - NA BENKI SI KWAMBA WANAANGALIA TUCOLLATERAL, WANCHEKI NA BIASHARA YENYEWE ILIVYO, MAKE UNAWEZA UKAWA NACOLLATERAL ZA KUTOSHA NA BADO UKANYIMWA MKOPO.

   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Naomba unipe details za hiyo nyumba kama kweli ipo Tangibovu na inapatikana kwa hiyo price!!
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Credit rating imeanza hapa TZ.
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tangi Bovu nyumba TZS 35 million!! Kitu kama hiyo hakuna
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndio maana nimetafuta details haraka ili niichangamkie!! hata kiwanja kwa bei hiyo nipo tayari kukichukua
   
 9. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Mkuu shukrani kwa maelezo. ila umeunganisha maneno mengi ambayo yalipaswa kutenganishwa kwa kitufe cha nafasi kati ya neno na neno. vipi kuna shida?

   
 10. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Fedha unayotaka ni nyingi, ni vigumu kuipata bila riba ama dhamana. Labda unachotaka kufanya ni kutafuta "business angles" ambaye atataka kuwekeza katika hiyo nyumba ili mgawane mapato. Kwahiyo, jaribu kutoa tangazo lako upya - kwamba unatamfuta mtu mwenye mtaji wa shilingi hizo, ili mkanunue nyumba - na yeye atakuwa anakula asilimia 10 had 30 ya mapata milele ama mpaka umiliki wako utakapo koma. Masharti yatatofautiana.
   
Loading...