Tatizo viongozi wengi wa vyama hivyo wanakuwa ni wanachama waaminifu katika Chama Kikuu cha Siasa!!!!Mi nimejitoa vyama vya wafanyakazi
Ni unyonyaji mtupu
Nitajiunga awam hii ya sita ikiwa vyama vitaacha kuwa mhimili wa Executive
Chief Economist
Tatizo viongozi wengi wa vyama hivyo wanakuwa ni wanachama waaminifu katika Chama Kikuu cha Siasa!!!!Mi nimejitoa vyama vya wafanyakazi
Ni unyonyaji mtupu
Nitajiunga awam hii ya sita ikiwa vyama vitaacha kuwa mhimili wa Executive
Chief Economist
Jubaaaaaaaaaaa tufwile nyambaya (hata mie nakijua atiiii)
Na wanawekwa makusudiTatizo viongozi wengi wa vyama hivyo wanakuwa ni wanachama waaminifu katika Chama Kikuu cha Siasa!!!!
Mie chama kinachohusiana na kibarua changu ni RAAWU, nilivyoajiriwa niliingia baadae nikatoka, watumishi wenzangu wakawa wananishangaa nakuona nimechanganyikiwa, but niliwaambia kuwa chochote watakachokidai serikalini ni collective bargaining na mie nitapata, kama likiwa langu binafsi basi itakuwa kweli nimekosa mfano makosa ya kuiba, kuchelewa na mengineyo. Hadi leo wanachama wanakatwa mshahara kama sikosei ni % 2 ya mshahara kila mwezi.Na wanawekwa makusudi
Nimetafakari na nimechukua maamz magumu
Chief Economist
Ulifanya maamz sahihiMie chama kinachohusiana na kibarua changu ni RAAWU, nilivyoajiriwa niliingia baadae nikatoka, watumishi wenzangu wakawa wananishangaa nakuona nimechanganyikiwa, but niliwaambia kuwa chochote watakachokidai serikalini ni collective bargaining na mie nitapata, kama likiwa langu binafsi basi itakuwa kweli nimekosa mfano makosa ya kuiba, kuchelewa na mengineyo. Hadi leo wanachama wanakatwa mshahara kama sikosei ni % 2 ya mshahara kila mwezi.
Nipe maelekezo ya NAMNA YA KUJITOAMie chama kinachohusiana na kibarua changu ni RAAWU, nilivyoajiriwa niliingia baadae nikatoka, watumishi wenzangu wakawa wananishangaa nakuona nimechanganyikiwa, but niliwaambia kuwa chochote watakachokidai serikalini ni collective bargaining na mie nitapata, kama likiwa langu binafsi basi itakuwa kweli nimekosa mfano makosa ya kuiba, kuchelewa na mengineyo. Hadi leo wanachama wanakatwa mshahara kama sikosei ni % 2 ya mshahara kila mwezi.
Mie kipindi hicho niliandika barua kwa mwajiri wangu kupitia kwa katibu wa RAAWU kwenye tawi la hapa kazini. Walivyoipitisha, basi naona wakawasiliana na hazina wasinikate tena kwenye vijisenti vyangu vya kila mwezi.Nipe maelekezo ya NAMNA YA KUJITOA
May Allah bless Me and You
Itakuwa ya bodi ya mkopoNaskia kuna nyongeza ya asilimia kumi na nane sijuhi ni kweli au uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntafanya hivyo,Mie kipindi hicho niliandika barua kwa mwajiri wangu kupitia kwa katibu wa RAAWU kwenye tawi la hapa kazini. Walivyoipitisha, basi naona wakawasiliana na hazina wasinikate tena kwenye vijisenti vyangu vya kila mwezi.
well said mkuu.mtoa mada naomba nikupe ushauri huu: Tafuta shughuli yoyote ya ziada nje ya kazi hata kama inakupa mia mbili tu itakusaidia kukuongezea kipato na pia kukupa uzoefu na kuzijua changamoto za kuelekea kwenye biashara kubwa
hahahah, jana ukaturusha roho, ulisema "mshahara umetoka kama dakika kumi hivi zilizopita"
hahaha..jnaa nilikua natest mitambo tu mkuu..hahahah, jana ukaturusha roho, ulisema "mshahara umetoka kama dakika kumi hivi zilizopita"
hahahahahahahahahahhahahha
hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bebe ng'wanamayu
hahahahahahhaah