Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Bank nyingine Tofauti na NMB na NBC Wamepata? kama Bank kuu ndo wanaachia kwa system moja...inakuwaje watu wanapata kwa mafungu?Au fedha zinaenda kwanza bank husika ndo wanaingiza? Mwenye kujua aje atujuze how it works,CRDB,STANBIC,STANDARD CHARTERED ETC WAO HAWAINGIZIWI MOJA KWA MOJA TOKA BOT?

Crdb bado mkuu.. Mpangaji wangu amekuja kunililia nimvumilie kesho anipe kodi yangu.
 
yaaan na sms juu, hahahah [emoji23] [emoji23]

n0 r0se with0ut th0rn
 
yaan sasa hakuna haja ya kuhama bank! kitu mapema NBC

n0 r0se with0ut th0rn
 
wapo field 1st Year na 2 Year.3 year wamemaliza.Mkuu nilisoma hapo na Club 255 ndo club mama hapo.Nlikua napenda statehe Chief.Dah nategemea kurudi tena mwakani kupiga Masters.Napenda hali ya hewa ya hapo.Nimewakumbuka mdm wangu Wa Enzi hizo.Mitaa ya Ruaha,Mikumi Bar,

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana..

Kuwa na feni Iringa ni anasa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom