Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

[emoji51]Kuna watu hamjapata mpk leo? huu ni uonevu sasa mm wakati inasema external application down kumbe ndo walikuwa wnaweka coz nilika dkk 5 nikacheck tena nikaukuta, wallah MANGI angenimurder!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2775505cb82e15bfcfc24c4b42814962.jpg
Salary haijawahi kuniacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom