super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,478
- 1,099
asa inakuaje wengine tayar na wengine bado?
hahaa,shida ni nn mkuu.au ndo wanaingiza taratibu
Mwezi uliopita mm nimepata trh 20 so sasa hv ni mwezi mzima na siku nne sijaona changu![emoji13]unajua tar 23 mwez ulio pita mpka tar 23 mwezi huu ni siku ngp?
Tunaijulisha serikali kuwa kunaubabaishaji katika kitengo cha mishaharaSasa mkutane mfanye nini?
Mkuu hata wewe na hiyo avatar hawajakuona duh. Kweli tunaisoma namba.Huu ni ubabaishaji wa watendaji wa serikali , haingii akilini kila mwezi tunateseka kwa kutopata mishahara ilikhari wengine wamepata, mimi sijapata mpaka sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha saana mkuu,Huu ni ubabaishaji wa watendaji wa serikali , haingii akilini kila mwezi tunateseka kwa kutopata mishahara ilikhari wengine wamepata, mimi sijapata mpaka sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
lakn saiv si wamekuingizia mkuuMwezi uliopita mm nimepata trh 20 so sasa hv ni mwezi mzima na siku nne sijaona changu![emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yamekuaje mamy kYani haya maisha haya
Hivi kama umeingia saa nane unasoma moja kwa moja??
Halafu huwa kuna bachi hawaweki kwa pamoja
mbona watu mna njaa hivi??
masaa 4 tu mmeshaleta kelele!!!
hamfai kuwa watumishi wa serikali
Sent using Jamii Forums mobile app