al-wakat muswadik
Member
- Jun 14, 2016
- 50
- 14
Kuna maneno meengi yanasemwa kuhusu watakaopata div 3 na kuendelea so ambaye anayo majibu sahihi anisaidie
Tusubir tuone itakuaje..bt form four waliopita si wamepata post mpk div3 i hope hakuna kilichobadilika..itakua ni principle 2 na subsidiary..km niko wrong wadau watanisahihisha!
Sio principle mbili na subsidiary bali ni principle mbili tuu ndani ya masomo matatu ya mchepuo.Tusubir tuone itakuaje..bt form four waliopita si wamepata post mpk div3 i hope hakuna kilichobadilika..itakia ni principle 2 na subsidiary..km niko wring wadau watanisahihisha!
Maneno yanasemwa wapi au ndo zile story za vijiweni na WhatsAppKuna maneno meengi yanasemwa kuhusu watakaopata div 3 na kuendelea so ambaye anayo majibu sahihi anisaidie
Nachokiona madogo hamsomi guidelines mnasoma chartings za whatapp!hembu onyesha ni wapi guidelines za Bodi na TCU zinasema hayo
Umeona wapi hiiSubiri mkuu utajua tu ndani ya week hii, tcu guidebook 2016 2017 bado haijatoka