Uliwahi kutoka kimapenzi na msichana ambaye alipata division one form four/six?

smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
2,197
2,000
NB: Mada hii naileta kwenu baada kupata inspiration kupitia thread ya donlucchese
Umeshawahi kupiga one katika levo yoyote ya elimu hapa nchini? Tukutane hapa.....!!!

Sijawahi kupata division one O-level wala A-level. ila nimesoma elimu rasmi ya darasani mpaka ngazi ya degree. Nina knowledge kubwa kuhusu elimu ya mtaa ambayo hufundishwi popote. ni elimu hii ya mtaani ambayo kwa asilimia 78 inanisadia sana kuniongoza katika kazi zangu.

Mwaka jana around november nilisafiri kikazi katika mkoa fulani unaopatikana katikati mwa Tanzania. Katika mazingira ya ile kazi iliyonipeleka, nikakutana na mdada mmoja mzuri wa sura na umbo. Nikamtongoza, baadae akakubali. jioni akaibuka hotelini nilipofikia.

Nikasema hapa si mcheleweshi, nikaweka kimoja cha fasta halafu baada ya hapo tukaanza kupiga stori za kufahamiana vizuri. Akaniambia yeye ni afisa wa taasisi fulani serikalini(jina kapuni) na ID yake akanionyesha kwa uthibitisho na mimi nikajitambulisha kwake kiundani zaidi. alikuwa so excited na profile yangu.

Katikati ya mazungumzo yetu ya kufahamiana, akanitajia shule za sekondari ambazo aliwahi kusoma O-level na A-level. Zote ni private boarding schools na ni girls tupu. moja ya shule hiyo ni maarufu sana, huwa inaongoza kitaifa kila mwaka(jina kapuni). Nikamuuliza katika mwaka wenu, shule yenu ilikuwa ya ngapi kitaifa katika ufaulu?.

Jibu lake lilinushtua, akaniambia kimkoa shule yao ilishika nafasi ya kwanza na kitaifa ilikuwa ya pili. Wanafunzi wawili tu kati yao walipata division two. waliobaki wote akiwemo yeye walipiga division one. akatumia simu yake kuingia kwenye website ya baraza la mitihani kunionyesha ufaulu wake.

Nikagundua kumbe nimesex na demu kichwa sana maana ufaulu wake ulikuwa na A za kutosha ikiwemo A ya mathematics, physics na chemistry.

Je, uliwahi kutoka kimapenzi na mwanamke genius kielimu ambaye ufaulu wake wa masomo ya sekondari ni kuanzia division one? Ilikuaje?

Tupe uzoefu wako.
 

chezo

Senior Member
Oct 19, 2012
187
500
Hao tunapiga tu wala hakuna uhusiano na elimu kwenye mapenzi.... wakati nachukua degree yangu nilitembea na dem mwalimu mwenye PHD chuoni.
 

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,617
2,000
Mkuu kula mbususu division one zipo baraza..au kitendea kazi huna mnaanzaje kupiga story za ki ajabu hivyo... acha uzembe
 

smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
2,197
2,000
watu wametembea na ma PhD holder sembuse division one
phd holder?!!, kawaida sana hiyo.
kwa elimu yetu hii ya kitanzania hata mtu aliyepata division four akiweka nia ya kujiendeleza kielimu anapata phd.

eric shigongo japo hakusoma elimu ya sekondari, leo hii ana degree. soon atakuwa na masters then phd.

usimbeze aliyepata division one.
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,958
2,000
Me nimewahi Tena sasa hivi anasomea udokta KCMC
ILA HATA HIVYO NA MIMI NILIKUWA SIO HABA NILIKUWA NAPATA ONE AU TWO KWA HIYO HAIKUNISHTUA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom