Raphael phockus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 778
- 4,518
.
Kabisa mkuu.Sasa hapo huyo amani anayelindwa ndo mashaka si kitotoo.
Inasikitisha....
Watu wanaweza Tengeneza noti ya sh 1,000 fake washindwe kutengeneza karatasi fake za kupigia kura kuwaaminisha mwanainchi kua uchaguzi haukua huru, walishawahi choma ofisi lutawashinda hili?, Refeer yule alisema kavamiwa kumbe alidondoka kwa sababu ya faru john, shame on you
CuF haijashiriki??vipi ADC?Sisi Zanzibar tumeshamaliza yetu, kama kawaida Maalim Seif ndio mshindi wa siku zote. Wazanzibar huwa hatutanii. Ole wake Jecha ageuze kitu.
Safi sana mkuu, napenda CCM iangushwe ili wajifunze kuheshimu mawazo ya watu.Sisi Zanzibar tumeshamaliza yetu, kama kawaida Maalim Seif ndio mshindi wa siku zote. Wazanzibar huwa hatutanii. Ole wake Jecha ageuze kitu.
Sawa, umechagua upande wa kutokuwa mkweli....Watu wanaweza Tengeneza noti ya sh 1,000 fake washindwe kutengeneza karatasi fake za kupigia kura kuwaaminisha mwanainchi kua uchaguzi haukua huru, walishawahi choma ofisi lutawashinda hili?, Refeer yule alisema kavamiwa kumbe alidondoka kwa sababu ya faru john, shame on you