Hali ya Upatikanaji wa maji mtaani kwako ipoje

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Habari za wakati huu

Hali ya maji mtaani kwako ipoje? Je, yanatoka kila Siku?

Vipi hali ya Umeme mtaani kwako umeme upo au umekatika au mpo kwenye mgao?

Wengi wanalalamika maeneo mengi ya Dar maji yamekua mtihani na umeme pia
 
Picha linaanza kila jumamosi umeme unakatika asubuhi kurudi jioni saa 12, jumatano umeme unakatika saa 12 jion kurudi saa 5 au 8 za usiku.
 
Back
Top Bottom