Vipi hali ya uchaguzi apo jimboni kwako?

Raphael phockus

JF-Expert Member
Nov 4, 2018
778
4,518
.
FB_IMG_16038806531023645.jpg
 
Hapa jimboni ni safi

Nimeona Wananchi wengi wamevaa nguo za kijani wanaimba iyena iyena
 
Watu wanaweza Tengeneza noti ya sh 1,000 fake washindwe kutengeneza karatasi fake za kupigia kura kuwaaminisha mwanainchi kua uchaguzi haukua huru, walishawahi choma ofisi lutawashinda hili?, Refeer yule alisema kavamiwa kumbe alidondoka kwa sababu ya faru john, shame on you
Sawa, umechagua upande wa kutokuwa mkweli....

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tunaendelea kupokea taarifa mbalimbali zikiwemo 📝💬💬

👉uchaguzi
👉utekwaji
👉manyanyaso ya watanzania sehemu zao za kazi
👉manyanyaso ya watanzania sehemu wanapoenda kupata Huduma za kijamii
👉ukatili wa kijinsia

Toa taarifa na sisi tutazifanyia kazi kumbuka hatuta mtaja mtoa taarifa yoyote 🙏🙏
#fichua_Tanzania
#kigogo_kigogo
 
Back
Top Bottom