Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Heeeeey you are going too far.
Am not bragging type of a woman ila watu kama nyie mnasababisha niwe hivyo.

Hili tuliliongelea mimi na The bold kabla ya kuleta hiyo taarifa hapa (tulilijua hili) that laiti kama mngejua ni jinsi gani naplay part kubwa ktk hii simulizi hadi mnaisoma sijui mngenishukuru kiasi gani.

Kwanza kama sio mimi wala asingeiandika,ni ushawishi & utashi wangu ndivyo vilivyopelekea The bold akakubali kuwaletea hii simulizi.

So naomba sana kabla hujaropoka (kama kuna wengine wenye mawazo kama yako) muwe mnatafakari/kuuliza kwanza.

Hivi unavyokimbilia kutoa lawama unataka nianike kila kitu hapa?Unajua ni sababu gani mtunzi ameshindwa kuwaletea episode inayofuata?
Vipi kama yuko hoi hospital?
Nimefanya kosa kuwajulisha?
Vipi ningeamua kukaa kimya kwani mngenifanya nini?

Hivi kwanini watu mnakosa ustaarabu kiasi hiki?
Am dissapointed,really dissapointed!
Na kuanzia sasa nitakuwa siwajuzi chochote.
Naona sasa ustaarab umefikia mwisho.
Mbna mimi nimeona kama utani tu jamaa ameweka? please usiende mbali huko best, si unajua chokora akikosa chakula jalalani pia anamsingizia rais [emoji23] [emoji23]
 
Heeeeey you are going too far.
Am not bragging type of a woman ila watu kama nyie mnasababisha niwe hivyo.

Hili tuliliongelea mimi na The bold kabla ya kuleta hiyo taarifa hapa (tulilijua hili) that laiti kama mngejua ni jinsi gani naplay part kubwa ktk hii simulizi hadi mnaisoma sijui mngenishukuru kiasi gani.

Kwanza kama sio mimi wala asingeiandika,ni ushawishi & utashi wangu ndivyo vilivyopelekea The bold akakubali kuwaletea hii simulizi.

So naomba sana kabla hujaropoka (kama kuna wengine wenye mawazo kama yako) muwe mnatafakari/kuuliza kwanza.

Hivi unavyokimbilia kutoa lawama unataka nianike kila kitu hapa?Unajua ni sababu gani mtunzi ameshindwa kuwaletea episode inayofuata?
Vipi kama yuko hoi hospital?
Nimefanya kosa kuwajulisha?
Vipi ningeamua kukaa kimya kwani mngenifanya nini?

Hivi kwanini watu mnakosa ustaarabu kiasi hiki?
Am dissapointed,really dissapointed!
Na kuanzia sasa nitakuwa siwajuzi chochote.
Naona sasa ustaarab umefikia mwisho.
No,kwa hili lazima tukulaumu,toka nimeijua ISIDINGO haijawahi kukatishwa ratiba yake,unataka kusema characters wa kwenye isidingo hawaumwi!? Ni jukumu lako kuhakikisha the bold anashusha ma-episode humu kwa kufuata ratiba,whether mzima au anaumwa,ni uzembe kama mpk leo hauna password yake!
 
Ila Nifah kuna kitu haujakiweka sawa, japo umefanya vizuri kutufahamisha lakini unatakiwa utuambia hyo dharula ni ya kitu gani either bad news or good news ili hata kama kila mwanaboard humu akifanya maombi yalenge tatizo la muhusika moja kwa moja apate wepesi haraka, hata makanisani tunaambiwa shika unapoumwa ili uombewe,
Lakini kusema tu dharula then kimya sio fair hasa kwa watu tuliowekwa bond tangu jtano, tunasubiria hyo kitu,
[HASHTAG]#justsuggetionweithertakeitorleaveit[/HASHTAG],
 
Wananchi wenye hasira kali uvumilivu ushawashinda hukuuuuuu.
 
Heeeeey you are going too far.
Am not bragging type of a woman ila watu kama nyie mnasababisha niwe hivyo.

Hili tuliliongelea mimi na The bold kabla ya kuleta hiyo taarifa hapa (tulilijua hili) that laiti kama mngejua ni jinsi gani naplay part kubwa ktk hii simulizi hadi mnaisoma sijui mngenishukuru kiasi gani.

Kwanza kama sio mimi wala asingeiandika,ni ushawishi & utashi wangu ndivyo vilivyopelekea The bold akakubali kuwaletea hii simulizi.

So naomba sana kabla hujaropoka (kama kuna wengine wenye mawazo kama yako) muwe mnatafakari/kuuliza kwanza.

Hivi unavyokimbilia kutoa lawama unataka nianike kila kitu hapa?Unajua ni sababu gani mtunzi ameshindwa kuwaletea episode inayofuata?
Vipi kama yuko hoi hospital?
Nimefanya kosa kuwajulisha?
Vipi ningeamua kukaa kimya kwani mngenifanya nini?

Hivi kwanini watu mnakosa ustaarabu kiasi hiki?
Am dissapointed,really dissapointed!
Na kuanzia sasa nitakuwa siwajuzi chochote.
Naona sasa ustaarab umefikia mwisho.
Kumbe mapenz yenu sio ya kijf jf ila ni serious mkuu

Mtu kama mimi nilidhan mnatania tania...

Mama punguza jazba ukiwa kwa wengi kuna mengi

Wapo watu wa mmoja kati ya wanne aisee, kila mtu akili yake anaejua mwenyewe
 
Ila Nifah kuna kitu haujakiweka sawa, japo umefanya vizuri kutufahamisha lakini unatakiwa utuambia hyo dharula ni ya kitu gani either bad news or good news ili hata kama kila mwanaboard humu akifanya maombi yalenge tatizo la muhusika moja kwa moja apate wepesi haraka, hata makanisani tunaambiwa shika unapoumwa ili uombewe,
Lakini kusema tu dharula then kimya sio fair hasa kwa watu tuliowekwa bond tangu jtano, tunasubiria hyo kitu,
[HASHTAG]#justsuggetionweithertakeitorleaveit[/HASHTAG],
Watu wa mungu naoo..so km mtu anaumwa mnafanyia maombi

We.subili episode ikitoka mpk kesho au j3 ilimlad itatoka msiwe na.nyege mshindo
 
Hahahaa! Watu wangefanya probability..

0 mpaka 9
Unajaribu namba 10 tuu hadi unampata

Ila huyu ni mwanaume! Nishasanda huo mchezo..
Najua sas iv wanavyomrukia hewan sim yake ni full bize muda wote... Ila kama ni mwanaume itakua kawaweza kweli
 
Wakuu,

Mu wazima natumai..

Kwanza mniwie radhi kwa kuwakatisha uhondo kwa siku ya leo.. Nilikuwa na changamoto fulani hivi iliyokuwa inanilazima niwe na utulivu na concentration ili kuiweka sawa!

Nashukuru kwa wale wote ambao mmeelewa na kunitakie heri changamoto ikae sawa.! Asanteni sana..

Pia, ingawa hakuna umuhimu lakini naomba pia niwajibu wale ambao walikuwa "negative" juu ya taarifa iliyoletwa na roho yangu, Nifah

Mkuu, TUJITEGEMEE, naona hii mara ya pili unatoa comment kama hii mara ya kwanza ilikuwa ni siku nilichelewa kuweka episode kwa takribani dakika 40 nje ya muda na ukakosa uvumilivu na kusema kitu kinachofanana na ulichokisema leo.. Mimi niwe wa kwanza kupingana na wazo lako kwamba nisitishe simulizi kwa wiki tatu niandike kisha nianze kutupia episode! Wazo lako haliko sawa.. Tafakari utaelewa kwanini haliko sawa..

Mkuu wise-comedian, nilitaka kuanzisha mtiti huo ugomvi wake ungetafuta pa kujificha, ila baada ya kuona comment yako ya pili, nimecheka tu [emoji23] nimeelewa kwanini unajiita "wise-comedian"... No hard feelings

Mkuu Fasir, aisee naomba uwe na adabu na acha kutuchafulia uzi.. Mimi huwa mvumilivu sana lakini upuuzi kama huu wako hautakiwi kuachwa bila kukemewa..
Kuwa na adabu na jitahidi kuficha upumbavu wako.. Nifah ameleta taarifa kwa nia njema tu na actually ni mimi ndiye nimemuomba alete taarifa hii.. Unapomvunjia heshima yeye unanivunjia heshima na mimi.. Tuko kwenye huu uzi kwa ajili ya burudani na labda kujifunza mawili matatu.. Huu sio uzi wa mipasho hivyo narudia tena jitahidi kuficha upumbavu wako..
Unafahamu nini kimenipata?? Nilikuwa sitaki kusema hili ila wacha nikuulize, unafahamu nani aliyeniamuru nibadili majina ya characters??
Huyo Nifah unaye mkejeli unafahamu amesimama na mimi kiasi gani katika katika masuala yangu yote katika maisha halisi huku mtaani?? Narudia tena na tena, ficha upumbavu wako na jiheshimu..

Mwisho,

Niwashukuru wote mlioelewa na kuvumilia... Na nimshukuru "cheupe wangu" Nifah kwa role kubwa anayoplay kila mahali.! Yeye ndiye aliyenishawishi niwaletee simulizi hii, sikuwa na mpango wa kuiweka humu..
She is the most awosome woman I have never seen.. Tunalia pamoja, tunacheka pamoja, na tunafanikiwa pamoja.. I'm the luckiest man on earth..

Nawashukuru sana wakuu..

Kesho jumapili mchana Episode 6 inakuwa hewani..

The Bold.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom