Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
Hahahahahah!! DaaahhHapa nifah lazima azidi kudara
Sawa Mkuu! Nitakutag..Heri ya mwaka mpya The Bold... Please kama utaweza naomba unitag.
Bila shaka Mkuu..The bold,jumamosi unikumbuke kwenye ufalme wakooo
Shukrani sana! Nitakutag..Aaah the bold... umebold km jina lako... big up aisee. Nafatilia kwa kina TAG
Shukrani sana Mkuu Graph Theory kwa kuwa pamoja..Mkuu The bold heshima kwako. Nikiri nimekuwa nikifuatilia stori zako kimya kimya, na mara zote hukosei. Sasa ili niwe na uhakika wa kusoma kila stori yako, naomba kwa epsode inayofuata ya stori hii, pamoja na simulizi nyingine utakazoanzisha, uni-include kwa wale unaowa-tag. Nikutakie mwaka mwema.
Ubarikiwe sana.Shukrani sana Mkuu Graph Theory kwa kuwa pamoja..
Bila shaka nitaongeza jina lako kwenye 'taglist'! Pamoja sana Mkuu..