Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Eeeeeh bwana eeeh? What a story?
Ni kama nilikuwa naangalia movie vile.
Mtiririko wa story ulio na maelezo ya kina kwa kila hatua umenivutia sana.
Siwezi kusubiri jumamosi...damn sipendi pressure za story kama hizi basi tu sina jinsi safari hii nimepatikana.

Story nzuri,kama kawaida hukosei honey
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Thank you mama..
Na asante kwa kuruhusu Jana niibe muda wako niandike hii.!
You know how much I love you mtoto mzuri [emoji4] [emoji7]
 
Mkuu The Bold naomba unitag ukiendelea ili nisikose. Naona ni mbali mno. Assume umeitoa last Saturday kwa hiyo iendelee leo. Hahaha.
Hahahahah! Jumamosi karibu tu Mkuu.. Tuombe uzima.. Nitajitajidi kukutag but na wewe jitahidi jumamosi ucheki coz kila jumamosi nitakuwa naweka Episode moja.. Unaweza kusubscribe pia uwe unapata updates..
 
Thank you mama..
Na asante kwa kuruhusu Jana niibe muda wako niandike hii.!
You know how much I love you mtoto mzuri [emoji4] [emoji7]

Tena usinikumbushe jana,nilinuna kama nini [emoji17]
Ila kwa jinsi story ilivyo tamu nimekusamehe zaidi ya jana baby.
And pls next time ukiwa unaandika make sure nimelala [emoji6]

I love you more my prince [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Kwangu naweza kusema najisikia aibu au ni ushamba wangu,unajua kwanini aiwezekani nipate burudani kama bila ya kulipia hii ni zaidi ya furaha kwangu,napata elimu,ufahamu,udambwimbwi kwa vi mb vyangu hakika unatupenda mkuu the bold sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea upate kuishi kadri upendavyo,HAPPY NEW YEAR JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom