Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Mkuu The bold shukran sana. Umenifanya niimalize siku yangu kwa mambo makubwa mawili..
1. Furaha yakupata story tamu sana.
2. Huzuni ya kufikiria arosto ya kukaa bila kuisoma hii story hadi j'mos.
Ila nakupongeza kwa kipaji ulicho nacho mkuu
Shukrani sana Mkuu babu na mjukuu

Kama nitaweza, naweza kuweka episode moja katikati ya wiki, but its probability! Ila Jumamosi ni uhakika, lazima niweke..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom