Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Kwangu naweza kusema najisikia aibu au ni ushamba wangu,unajua kwanini aiwezekani nipate burudani kama bila ya kulipia hii ni zaidi ya furaha kwangu,napata elimu,ufahamu,udambwimbwi kwa vi mb vyangu hakika unatupenda mkuu the bold sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea upate kuishi kadri upendavyo,HAPPY NEW YEAR JF
Shukrani sana Mkuu!

Happy new year..
 
Duh we jamaa ni NYOKO umejuaje nilikua natamani uweke uzi wa kufungia mwaka mpaka nikatamani kukufata pm nikuombe!!
Ahsante sana nimetoa like sasa nina changia then nitausoma taratiiiiiibu after lunch, thanks kaka and HAPPY NEW YEAR.
 
Unajua maana ya hiyo ID ya jamaa baby?
Inamaanisha "ananipenda" kwa kichagga...

Yessssss Nifah anakupenda sana
Happy new year my soulmate.

kumbe ndio maana yake hiyo..

Love you more "cheupe" (wacha nikopi swaga ya Ray, nimeikubali)
 
Wat a story!!!!! wakati namaliza kusoma story, nikawa nawaza kwa sauti kwanini (Nifah) asiwe cheupe wa (The bold) sasa wengine waungwana kabla hauja comment lazima utafute labda kuna mtu kaliona ilo ghafla naona mwenyewe ameamua kukuita Nifah (Cheupe) ukweli si wajui kwa kuwaona ila kwa Jf nawajua ikibidi tutaonana ila "The bold unajua jua mkuu " hongera sana Man
 
Shukrani sana Mkuu Liuumi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom