Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Itabidi nijitahidi niwe naweka episode mbili kwa wiki (moja katikati ya wiki na moja jumamosi)..
Naona wengi wametoa maoni kama haya kuwa jumamosi ni mbali..
Tena ni mbali sana, yaani kwa upande wangu imebidi nikumbushie enzi za shule, nimeorodhesha siku kwenye karatasi na ninapunguza siku moja moja.
 
Yaniiiiiii huyu kijana ataniua Wallah,sio kwa kunidatisha humu.
Maana hizi simulizi zake ndizo zilizonifanya nivutiwe nae...na anazidi kuuwasha moto namna hii!
Niombeeni waungwana
Shikilia mkuu usiachie ,
Akina naniluuuu wanammezea mate ukilegeza tu watamdaka.
 
Mkuu umetunga wewe??

Watu mnavipaji aisee, SOTE HUB

Huu utunzi bila shaka km mtunzi ni wewe kuna mambo yako ndan

My b CHEUPE.ni nifan naota tuu
 
Weeeeee huyu ni wangu wa maisha,simuachii hadi hapo kifo kitakapotuachanisha.
Hivyo ondoa shaka Mkuu,najua jinsi ya kumshika .
Nilikuwa nasikiliza ile ngoma ya longiiiiii Fabulous ft. Neyo - You Make Me Better..

Mkuu The bold asante sana kwa muda wako unaojitolea kutupa simulizi zilizojaa maarifa bila malipo yoyote.
Kuna wadau waliwahi kusema uanze kutoa vitabu, mimi nafikiri ni wakati sasa uangalie uwezekano wa kufanya movie au tamthiliya (ingawa inaweza kuwa ngumu) maana huu utunzi ni wa kiwango cha lami.
Na mimi pia ninaomba uwe unanitag katika post zako mkuu maana nilikuwa nasubiri kule intelligence kumbe vitu vina-happen huku.
 
Shukrani sana Mkuu kwa ushauri na pongezi..
Tuombe Mungu, this year nimepanga kuachilia kitabu kimoja walau..

Sent from my V5 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom