Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
- Thread starter
- #521
Aisee wazo zuri sana hili! Nimelipenda na nakubaliana nalo kwa 100%Nami ikiwa hewa Episode 3 nitagi kwenye post hiyo. Pia moderators wanaweza kutengeze ID moja yenye mkusanyiko wa members wote wenye interest na story hii Mfano waID hiyo ni The Bold followers. Kiasi the bold akirusha Episode, ana tag wote kwa kuweka hiyo ID ya The Bold followers na wote tunaenda moja kwa moja kwenye episode kuliko njia hii ya sasa anayotumia! Niwazo langu la kusaidia tunakuwa karibu na story kwa haraka zaidi.
Kama likiwa linawezekana itakuwa poa sana aisee!
