Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Wewe nae ndio nini kuturusha roho hivi jamani?
Sio kwa mbwembwe hizi...
Ila hii story ni ya aina yake,kwa kumbukumbu zangu sijawahi kuona story yoyote humu JF ikiwa na teaser...I like it.
Wajua mimi ni shabiki wako wa kutupwa,mambo kama haya ndio nazidi kukukubali.
I got your back babe
#TheBoldIsMine#