Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Ukiingia kwenye tovuti angalia pale juu kabisa au chini kabisa kuna Category ya "SHORT STORIES"... bofya hapo utapata Simulizi zote na Episode zote

Nifah ninawashauri muweke "clear and direct" link za episodedes za hadithi. Sidhani kama lengo ni kusababisha usumbufu kwa wasaji wapya kama mimi.

Hata kama mmeziweka kwenye blog yetu bado ni ngumu sana kupata episodes za mwanzo. Kama lengo lenu kama bloggers wengine ni kupata wasomaji wengi kwa kadri iwezekanavyo basi mnazikosa sana.

Ni muda sasa wa kulifanyia kazi hili tafadhari
 
Then there is a problem with my phone maybe.....nikiingia to kwa link inafunguka epsode moja automatically afu znaonekana zengne kuaZia 33 had 36 TU sio nakala zengne tena
Ukiingia kwenye website kwa urahisi zaidi nenda juu pale kabisa au chini kabisa kuna category imeandikwa "SHORT STORIES"... bofya hapo utapata orodha ya Episode zote nilizoziweka kwenye tovuti... Vipo za Vipepeo na The Other Half... So unatakiwa ucheki uzione za The Other Half
 
Mkuu unitag kwenye hii story mpya
 
mkuu the bold naomba link ya vipepeo episode ya 15 hadi ya 24 coz nazitafta hadi nimechoka jinsi ya kuzipata hapa na kule kwenye website nimeingia ila nimekuta kuazia episode ya 25... naomba link mkuu tafadhali
 
Mkuu.. Unatumia app au browser??

Kama unatumia App.... Fungua uzi (mfano hapa unaposima hii comment maana yake tayari upo ndani ya uzi) kish nenda upande wa juu bofya hapo kisha chagua 'Search', alafu andika namba ya Episode unayoitaka, kisha Search na itakuletea hiyo Episode..
 
mkuu inaendelea lini season 2?
 
Similar Discussions

114 Reactions
Reply
Back
Top Bottom