Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

The bold ...shukran sana story naona km itakuwa na sehemu 3
Ya kwanza imeisha big up bro story IPO poa sana
Vipi sehemu ya 2 tutengeme lini?
Shukrani mungu atupe uzima # munguniwetusote.
 
The bold &Nifah itaendelea lini tena ,maana mshaniteka kabisa
Pia ile story ya the other half nayo IPO sehemu ha 1&2 na haijaedelea tena.
 
www.https://jamii.app/JFUserGuide
There you go

Mkuu nifah.......nmeingia kwenye hiyo link ila nashindwa kuona simuliz kuazia epsode 26 had 30 znaonekana kuazia 32.

Pia the other half nataka kuazia epsode 2 ila sion.

Je ni kwasabu natumia simu au kuna sababu nyengne....msaada wako mkuu unahitajika
 
Ukiingia kwenye tovuti angalia pale juu kabisa au chini kabisa kuna Category ya "SHORT STORIES"... bofya hapo utapata Simulizi zote na Episode zote
 
Nifah ninawashauri muweke "clear and direct" link za episodedes za hadithi. Sidhani kama lengo ni kusababisha usumbufu kwa wasaji wapya kama mimi.

Hata kama mmeziweka kwenye blog yetu bado ni ngumu sana kupata episodes za mwanzo. Kama lengo lenu kama bloggers wengine ni kupata wasomaji wengi kwa kadri iwezekanavyo basi mnazikosa sana.

Ni muda sasa wa kulifanyia kazi hili tafadhari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom