Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Kaka me usinitag wala nini just niambie tu inaendelea lini nikabe selo
I mean ntaendelea kufuatilia hivihivi kinyemest otherwise [emoji120]
Sawa mkuu..

Ni Jumatatu, Jumatano na Ijumaa..
 
Najiuliza sana maswali mengi bila kupata majibu kuhusu ''Vipepeo weusi'' nini maana ya hii kitu.......Tafadhali Mkuu the Bold au Mkuu Nifah...........Naumia..........
 
kwanza nilianza Nyangao then Lindi mjini Pande za Sabasaba then karibu na uwanja wa ilulu........Nilimuona Mtu anafanana na wewe Mkuu.....Je ni wewe au watu ni wawili wawili.....?
Hahahah sio mimi..

Sema nishawahi kupita pita mitaa hiyo.. Zaidi ya 10 years ago!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom