Huwa inaongezeka ila mi nashangaa sipo, labda kuna vigezoSijui ni vigezo gani vinamfanya mtu awe tagged maana list ni ileile daima haipungui haiongezeki
Pamoja sana mkuu..Heshima kwako mkuu bold
Nimeongeza tayari jina lako mkuu ingawa nahisi tayari ulikuwemo..Sijui ni vigezo gani vinamfanya mtu awe tagged maana list ni ileile daima haipungui haiongezeki
Nimeongeza jina lako tayari..Huwa inaongezeka ila mi nashangaa sipo, labda kuna vigezo
Much respect mkuu MJINI CHAImkuu the Bold heshima sana.........sasa hivi nimepata muda ngoja nisome EPISODE ya 13 na 14kwani nilikuwa Lindi nimerudi leo nilienda kuangalia kama naweza pata nafasi kiwanda cha cement kinachotarajiwa kuanza kule kuna changamoto nyingi sana..........Umeme kukatika katika kila mara, maji ya kunywa shida, Radio TBC haisikiki eti wanadaiwa na Tanesco Tshs 14M.............
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]We mwana naanza kuwaza na kuhisi hii story inakuhusu kwa asilimia kubwa huu utamu usinge weza kueleza kama ni story ni ya kutunga
Mkuu upo deep mpaja unatishaa balaa
Wadau wasomaji kwan hamuniungi mkono
Gonga like kama unakubaliana
The.bold ndio kichwa na cheupe ndio nifan
Check Dp yake
Jioni mkuu..Tayar its Saturday..mkuu
Jioni mkuu..tupiaa mwanaa
Mkuu kama utakuwa tayari unaweza nitumia e_mail yao na mimi.nitume cv zangu kwenye hicho kiwanda cha cementmkuu the Bold heshima sana.........sasa hivi nimepata muda ngoja nisome EPISODE ya 13 na 14kwani nilikuwa Lindi nimerudi leo nilienda kuangalia kama naweza pata nafasi kiwanda cha cement kinachotarajiwa kuanza kule kuna changamoto nyingi sana..........Umeme kukatika katika kila mara, maji ya kunywa shida, Radio TBC haisikiki eti wanadaiwa na Tanesco Tshs 14M.............