Evarist Massawe
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 857
uhondo unaendela daah kunoga mwee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Karibu mkuu.Uvumilivu umenishinda nakifwata whastapp sasa..maana daah
Shukrani Mkuu..Mkuu asante kwa muendelezo
Shukrani sana comrade..Safi sana kiongozi kazi mzuri
Pamoja sana Mkuu..ASNTE SANAA MKUU
Pamoja sana chief..Mkuu.. Welcome Back...na nikishukuru kwa dhati kabisa kwa hizi release za jioni.. what a beautiful ending to a very long Day.. GodBless
Shemela.. Shukrani kwa kunishtu!!The bold uje huku...!
Pamoja sana chief..Mkuuu,nakuelewa sana na asante kwa kaz yako
Nadhan baada ya kupepeluka lasmi umetua
Nilikuwa kule behind the..
Sasa ngoja nisome hz
Pamoja sana Mkuu!Mkuu barikiwa sana kwa hizo episode mbili!! Kiu niliyokuwa nayo juu ya hii simulizi imeshuka sasa
Hahahaha!! Karibu sana Mkuu..Uvumilivu umenishinda nakifwata whastapp sasa..maana daah
Hahaaa! Pouwa mkuuShemela.. Shukrani kwa kunishtu!!
# TonyMlabata [emoji3]
Inabidi scene za Tony mla bata zirudi sasa...![emoji23][emoji23][emoji23]Shemela.. Shukrani kwa kunishtu!!
# TonyMlabata [emoji3]
Uvumilivu umenishinda nakifwata whastapp sasa..maana daah
Umeonaa eeh,kila part inaishia kutamuHamna namna itabidi tujiunge tu, hapa mwana hata kitabu kinauzika.