Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

sometimes tuwe logical maana jamaa naona last seen toka saa kumi na moja jana 5:16 asubuhi tuache kulalamika wakuu akirudi mbona mambo yatakuwa safi......

maana alituahidi jamani tuwe na subira.......
 
its posible mkuu the bold ana personal problems so ni vyema tukatulia na kumsubiri, najua the bold ni muungwana atatuambia kipi kimemsibu. wale mnaotoka mapovu pelekeni povu zenu jangwani.
Kweli aisee, ila Kama inawezekana mtu mmoja kutoka group la whatsap atutumie episode inayofuata, the bold hawez kumaindi maana aliahidi kutuma ijumaa na leo ni jpili nadhan ana dharura. Yani toka juzi nakaa sipitishi dk 5 naingia humu kuangalia update.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Watu wachokozi jamaniiiiii! Kujificha kote huko?

Yeye ni shabiki wa Yanga zamani eti,sasa hivi hana timu.
Ila namshukuru kwa kunifariji uwanjani jumamosi [emoji24]
Asante mtani,hongereni bwana.

Asante mtani, basi mpe pole na yeye.

Nasikia eti mechi zinazokuja itakuwa Simba akipewa kadi nyekundu mnamwomba refa aisamehe tu, ili Simba wasibaki pungufu.
 
Habari wakuu,


Nilikuwa na dharura binafsi tangu siku ya Ijumaa.. Miniswamehe bure kwa usumbufu uliojitokeza..


Nitaweka muendelezo leo hii baada ya kama lisaa limoja kutoka sasa!


Kumradhi sana kwenu nyote!



The Bold
Asante sana mkuu!! Naisubiri kwa hamu
 
Habari wakuu,


Nilikuwa na dharura binafsi tangu siku ya Ijumaa.. Miniswamehe bure kwa usumbufu uliojitokeza..


Nitaweka muendelezo leo hii baada ya kama lisaa limoja kutoka sasa!


Kumradhi sana kwenu nyote!



The Bold
Pamoja mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom