Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Hizo episodes 13&14 naziona lakini hakuna namna ya Ku kuwaload,mwenye kuweza Ku download,A Copy & paste ili niweze kusoma!
 
Hatimae.ni jmoc...KICHWA Kapatwa na nini ai sinyorita baada ya kula mikanda alimua kumtaja kwa blaki

Kuwa ndio anahusika kuiba na kuchoma bang zake??

Mkuu the bold wapi kaka wapi ww
 
Sidhani Kama the bold atakua salama huko morogoro gerezani. Kwa ukimya huu na mipango yake ya hatari gerezani sidhan Kama kuna usalama
 
Jamani episode no 15 imetoka au bado maana tuliambiwa ijumaa sasa leo jumamosi duh
 
Bold na Nifah wamekaa kimaslahi zaidi.Mie nafikiri admin muweke sheria mtu akiweka hadithi awe na muendelezo unaeleweka vingine apewe ban.Manake anacheza na akili za watu.
 
Bold na Nifah wamekaa kimaslahi zaidi.Mie nafikiri admin muweke sheria mtu akiweka hadithi awe na muendelezo unaeleweka vingine apewe ban.Manake anacheza na akili za watu.
Baba mbona povu linakutoka...kumbuka humlipi chochote coz anatumia resources zake
 
Duhh Na leo The bold hajaja Mbona ataka Kuharibu Furaha yetu Leo Maimbazii
Jamani Mshtueni basi Mambo yasije Haribika
 
Bold na Nifah wamekaa kimaslahi zaidi.Mie nafikiri admin muweke sheria mtu akiweka hadithi awe na muendelezo unaeleweka vingine apewe ban.Manake anacheza na akili za watu.
Yaani mtu kuchelewa masaa yasiyozidi 24 kutoka mda aliousema yeye tayari huo wewe unaita mwendelezo usioeleweka?
 
Bold na Nifah wamekaa kimaslahi zaidi.Mie nafikiri admin muweke sheria mtu akiweka hadithi awe na muendelezo unaeleweka vingine apewe ban.Manake anacheza na akili za watu.
Mkuu unavuka mipaka sasa, mtu kajitolea kukupa stori bure halafu unaweka masharti? Je angeamua kuweka kwenye grupu lake la whatsap pekee? Wakati mwingine angalia comment yako kabla hujaileta kwenye public, usije kutukosesha uhondo bureee
 
2f0ce06abd5f1552fec1a1fe0c6b7f1b.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom