Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Kuna kitu nimekipata hapa huyu baba bite anaweza akawa tiss lakini hashirikiani na the board na anamfahamu sana ray na atakuwa msaada mkubwa kwa ray maana anajua kama hyo board ipo lakini kwa kuwa mchawi ni ndugu yako ndo maana anasubiri ray akutane na chairman /awe mwanabod rasmi ndo wakae chini wapange njia ya kudestroy mipango yao,
Cc:the bold naomba unijibu kati ya ray na baba bite nan wakwanza kupanga pale?
Nataka kuunganisha dots zangu ziwe mstari kabiisaaa....
 
The bold..una idea flan na shughuli za kitengo..lakini pia unaonekana unajua mengi yanatofanyika nyuma ya pazia...anyway ngoja nione
 
Story nzuri
Kiswahili safi hahaha kidogo kifanane na cha Arusha
Halaf inaendelea lini
Comment nying nmeshindwa hata kujua kama iliendelea au la!
 
Ahsante mkuu,ikiianza basi naomba unitag km hutajali lkn
Wala sihitaji kuombwa mkuu NITAFANYA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena kwa herufi kubwa,
la muhim ni kukumbushana tu ,,
maana hadi jpili si haba ?
 
Wala sihitaji kuombwa mkuu NITAFANYA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena kwa herufi kubwa,
la muhim ni kukumbushana tu ,,
maana hadi jpili si haba ?
Hahahaha unaona ss kwa hyo nkisahau kukumbusha imekula kwangu kabisaaaa
 
Hahahaha unaona ss kwa hyo nkisahau kukumbusha imekula kwangu kabisaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi niruhusu nikutag kwenye kila thread kuanzia sasa ili niweke memory sawa au nije pm ?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi niruhusu nikutag kwenye kila thread kuanzia sasa ili niweke memory sawa au nije pm ?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ruksaaaa
Nitag tu hadi utakapochoka mkuu
 
Kuna jamaa mla bata tu pamoja na demu wake, unaweza kumchukulia kawaida kumbe ana siri nzito ndani yake na ndie mlengwa mkuu wa Ray kuingizwa kwenye mkakati ili kuleta ushirikiano mzur na baba bite.... Ni mawazo yangu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom