Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,371
Ina umbali gani?Mbona umeweza kusubiri huu mwaka wa nne hamna kombe la Ligi kuu msimbazi na sijawahi kukuona ukilalamika? [emoji12]Duh j5 kumbe mbali namna hii
Ina umbali gani?Mbona umeweza kusubiri huu mwaka wa nne hamna kombe la Ligi kuu msimbazi na sijawahi kukuona ukilalamika? [emoji12]Duh j5 kumbe mbali namna hii
Hahahaah mwaka huu nadhani itakuwa mwisho wa kusubiri.!Ina umbali gani?Mbona umeweza kusubiri huu mwaka wa nne hamna kombe la Ligi kuu msimbazi na sijawahi kukuona ukilalamika? [emoji12]
Kwenye Msimbazi wf yangu usiguse basi jamanIna umbali gani?Mbona umeweza kusubiri huu mwaka wa nne hamna kombe la Ligi kuu msimbazi na sijawahi kukuona ukilalamika? [emoji12]
Mbinguni auNatangaza kuweka ulinzi.
Hizi lips zimenifanya nifikirie mbali.
Na kweli ww jichekee tu ma dearteh teh teh😀😀😀 laughing very loud.
Kabisaa wifi yanguTukitangaza mapema uhondo utaisha,kampeni si huwa zinafanyika Kwa miezi 2/3?
Mwisho wa simulizi hii ya vipepeo weusi mshindi atatangazwa [emoji4].
Ile midaa ya wangaYeah.. Najua hiyo bebi, nikute umepigia kile kivazi kina nizuka yake mida ya usiku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ASANTE Ndugu The Board. Kwa Mara ya kwanza nimesoma simulizi tena kwa hisia.Na nimeferahia sana Ingawa ni kero kwa shemeji yako maana every time nipo bize na siku.LAKINI nilipofika episode ya 7 Nilimpa dawa yake....
Wala sijasahau tatzo naona chama kitanifia mikonon mwangu1jiandae karibu nakuja.. am almost done!! imebidi nibadili ratiba 😀😉
Baby wangu sijui haoni wivu? mitoto mingine bwana rahisi kweli kutekwa na kusahau fadhili zote ulizomfanyia [emoji34][emoji34][emoji34][emoji30]
Appetizer hyo mai wiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Episode 7 itaokoa ndoa & mahusiano mengi sana.
Maana me wengi watapiga show kama ya Ray kwa Cheupe [emoji12]
Huyu kijana ni kiboko...Jana kateka hisia zangu mpaka nikasahau kwenda kulipa kodi TBL[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Episode 7 itaokoa ndoa & mahusiano mengi sana.
Maana me wengi watapiga show kama ya Ray kwa Cheupe [emoji12]
Anaitwa The BoldASANTE Ndugu The Board. Kwa Mara ya kwanza nimesoma simulizi tena kwa hisia.Na nimefurahia sana Ingawa ni kero kwa shemeji yako maana every time nipo bize na simu.LAKINI nilipofika episode ya 7 Nilimpa dawa yake....
ASANTE kwa heshima NASAHIHISHA.Anaitwa The Bold
Clkey umeona? maneno gani haya kakwambia.jiandae karibu nakuja.. am almost done!! imebidi nibadili ratiba 😀😉
Baby wangu sijui haoni wivu? mitoto mingine bwana rahisi kweli kutekwa na kusahau fadhili zote ulizomfanyia [emoji34][emoji34][emoji34][emoji30]
Asante Wii darling [emoji8]Wifi yangu una akili aisee kumbe broo hakukosea kukuchagua
Hahahahahaaaaa tusubiri na tuone,point 4 sio nyingi [emoji6]Hahahaah mwaka huu nadhani itakuwa mwisho wa kusubiri.!