Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Hahahahah mkuu bwanaDizaini kama nakuelewa vile.
Hahahahah mkuu bwanaDizaini kama nakuelewa vile.
Hahahahah mkuu bwanaDizaini kama nakuelewa vile.
Yaan wifi najikuta nacheka hadi najishangaa mwenyewe maana vituko balaaHunizidi mimi,nimecheka sana.
Mr Mc am going to chase you now! Lugha gani hii...Ma chocolate, barafu wa moyo.
Mimi toka kampeni simeanza sijasema kama naongoza au la...Exactly Mkuu, we are friends hakuna haja ya kununiana. Ila mtanange unaonyesha naongoza.
Wooow.... Mkuu The Bold tangaza ushindi kabla Jechanga hajafika. Clkey jioni nitakuletea ile zawadi unayoipenda kuliko zote.Ahsante sanaaa asali wangu
Tena kwa kamasi
You are 100% fired!Kweli paka nikitoka panya ndo wanatawala
Hahahaha nyie kimbizaneni tuMr Mc am going to chase you now! Lugha gani hii...
Transcend hahahaha hebu niachie huyo atajinyoga ujueYou are 100% fired!
Usiangalie hata nyuma !
Naisubiri kwa hamu kwa vile namm naipendaga basiii hapana taabWooow.... Mkuu The Bold tangaza ushindi kabla Jechanga hajafika. Clkey jioni nitakuletea ile zawadi unayoipenda kuliko zote.
Mkuu unahemea machine sasa hivi..Wooow.... Mkuu The Bold tangaza ushindi kabla Jechanga hajafika. Clkey jioni nitakuletea ile zawadi unayoipenda kuliko zote.
Hana kitu hUyo miziki ni kama hii hapa hata Michelle Obama akizikisikiliza lazima atoke chozi la hubaWeka mkuu,nafurahi sana ni vile tu sisemi ila zote nazingalia.
Una taste ya muziki sawa na mimi....
Ngoja niishie hapa kabla bwana mkubwa hajamind [emoji12]
Clkey unaona unatiatia chumvi tu...Hahahaha nyie kimbizaneni tu
Nilkuwa nabofya bwana bahat mbaya nkaenda kwenye kapicha ss PC net ikawa inazinguaClkey unaona unatiatia chumvi tu...
Kila baada ya 30 minutes unabadilisha avatar...!
With that! Am gonna spare no one!
Hana kitu hUyo miziki ni kama hii hapa hata Michelle Obama akizikisikiliza lazima atoke chozi la huba
Tulia muzei, I'm on my way na mwendo umechanganya, nobody can stop me.Mr Mc am going to chase you now! Lugha gani hii...
Hebu mfungashie zile suruale zake 2 atoke !! [emoji23][emoji23][emoji23]Transcend hahahaha hebu niachie huyo atajinyoga ujue
Karoho bado kanampenda penda jaman ujueHebu mfungashie zile suruale zake 2 atoke !! [emoji23][emoji23][emoji23]
A man will be in soon!
Yaan wifi najikuta nacheka hadi najishangaa mwenyewe maana vituko balaa
Dada nakuvutia clkey karibu! Am going to double ushemejila...Hahahahahaaaaa hawa watu wana vituko sana Wii.
Kila nikiboreka nakuja hapa kuburudisha nafsi.
Wifi nshacheka balaa nadhani kwa leo nmeongeza miaka hata mitano kwa kucheka tuHahahahahaaaaa hawa watu wana vituko sana Wii.
Kila nikiboreka nakuja hapa kuburudisha nafsi.