VIP wekeza kihalali kuanzia 10,000

VIP wekeza kihalali kuanzia 10,000

Kuwekeza kwetu huku ni bora kuliko upatu, bora kuliko kibubu, bora kuliko fixed accounts.

VUNJA KIBUBU KUWA VIP.
 
Gawio la faida kwa wanachama linafanyika kila baada ya muda gani ( Mara ngapi kwa mwaka)
Tumepanga itakuwa mara moja kwa mwaka gawio la faida za hisa.

Gawio la uwekezaji wa miradi linagaiwa kila wiki kwa muda ulioainishwa kwa mradi huo.
 
Aisee!! Hii nzuri, swali la mwisho
Kwa kukadiria, faida anayopewa mwanachama kila wiki inaweza kufikia asilimia ngapi ya uwekezaji wake? Na mtu akijiunga ni lazima awe anahudhuria vikao vya wanachama mana kwa Mimi nipo dsm na nipo bize hatari.
 
Vitendo SACCOS, inawaletea uwekezaji mpya na wa aina yake. Unaweza sasa kuwekeza kuanzia Shillingi 10,000 ukawa na faida sawa na aliewekeza million 10.

Vitendo SACCOS ni mjumuiko wa wapenda maendeleo bila kujali rangi, kabila, dini, wapi unaishi. Mradi wewe ni Mtanzania uliejiunga na Vitendo SACCOS na umri wako ni zaidi ya miaka 18. Sasa unaweza kuwekeza kuanzia 10,000 na kuendelea.

Mpango wetu mpya na wa sita wa kuwekeza kwa kuchangiana mtaji umeanza rasmi leo tarehe 05/06/2017.

Mpango huo uinaitwa VIP, Vitendo Investment Partnership.

Unawekeza kiasi chochote kuanzia 10,000 na unaanza kupata mafao baada ya siku 30 za matayarisho kwa wiki 26 za kazi kwa faida ya 50%.

Mpango huu ni kwa wanachama wa Vitendo SACCOS tu. Kama hujajiunga jiunge leo ufaidike.

Vitendo SACCOS tayari ina wanachama zaidi ya 120 kutoka mikoa tofauti ya Tanzania na Watanzania waliopo nje ya Tanzania wengi wameanza kujiunga na kufaidika.

Ukijiunga unaunganishwa na group letu la whatsapp na humo kuna mengi sana ya maendeleo.

Tunawakaribisha Watanzania wote popote walipo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami 0625249605.

Abdul Ghafur
Mwenyekiti.

Vitendo SACCOS.
Nina ushauri
Unaonaje ukaweka link ili watu wawe wanajiunga wenyewe kwenye hilo group la WhatsApp
 
Aisee!! Hii nzuri, swali la mwisho
Kwa kukadiria, faida anayopewa mwanachama kila wiki inaweza kufikia asilimia ngapi ya uwekezaji wake? Na mtu akijiunga ni lazima awe anahudhuria vikao vya wanachama mana kwa Mimi nipo dsm na nipo bize hatari.

Kuna vikao vya kisheria kwa mwaka lazima viwepo. Tunataka to lob ili serikali iweke Sheria zinazoendana na wakati, kwani siku hizi kuna technology ya webinar na video conference. Zikitumika inavyotakiwa mnaweza kuwa sehemu mbali mbali duniani na wote mkahudhuria mkutano huo kwa mawasiliano tu.

Ndani ya VTS tunafanya majadiliano mengi kupitia whatsapp na siku ya mikutano rasmi inakuwa ni kupitisha tu maamuzi yaliokwisha jadiliwa ili kukidhi matakwa ya Sheria za vyama vya ushirika.

Kuhusu faida nitarudi na kukupa jinsi tunavyokokotoa mgao wa faida.

Asante.
 
Group la wanachama ni mpaka uwe umelipia kiingilio. Lakini kuna group letu linalojumuisha wanachama na wasio wanachama hilo naweza kukupa link.

Kanuni za jukwaa hili la jamiiforums hazirihusu kuweka link. Naomba ni whastapp nikuunge 0625249605.

Soon tutakuwa na app itayotumika kwenye android kwa watu kujiunga.
 
Kuna vikao vya kisheria kwa mwaka lazima viwepo. Tunataka to lob ili serikali iweke Sheria zinazoendana na wakati, kwani siku hizi kuna technology ya webinar na video conference. Zikitumika inavyotakiwa mnaweza kuwa sehemu mbali mbali duniani na wote mkahudhuria mkutano huo kwa mawasiliano tu.

Ndani ya VTS tunafanya majadiliano mengi kupitia whatsapp na siku ya mikutano rasmi inakuwa ni kupitisha tu maamuzi yaliokwisha jadiliwa ili kukidhi matakwa ya Sheria za vyama vya ushirika.

Kuhusu faida nitarudi na kukupa jinsi tunavyokokotoa mgao wa faida.

Asante.
Asante kwa ufafanuzi
 
Group la wanachama ni mpaka uwe umelipia kiingilio. Lakini kuna group letu linalojumuisha wanachama na wasio wanachama hilo naweza kukupa link.

Kanuni za jukwaa hili la jamiiforums hazirihusu kuweka link. Naomba ni whastapp nikuunge 0625249605.
Owk sawa,nilikua sifahamu kaka....kwahiyo kiingilio kinakuwa mbali na kile kiasi cha pesa ambacho mtu anawekeza!!!!!
 
Aisee!! Hii nzuri, swali la mwisho
Kwa kukadiria, faida anayopewa mwanachama kila wiki inaweza kufikia asilimia ngapi ya uwekezaji wake? Na mtu akijiunga ni lazima awe anahudhuria vikao vya wanachama mana kwa Mimi nipo dsm na nipo bize hatari.

100,000 mtaji ongeza faida 50% ya wiki 26 za kazi 50,000 = 150,000 gawa kwa wiki 26 = 5,769.23 kwa wiki, utaamua upokee kwa wiki au mwezi au baada ya miezi sita.

Kuna grace period ya mwezi mmoja.
Malipo ya mwisho itakatwa asilimia 3% tu ya faida kutunisha mfuko wa VTS. Unaweza kuwekeza mwaka mmoja ikawa mara mbili ya hivyo.
 
Mwaka si una wiki 52 mkuu? Au ni mradi wa nusu mwaka?
 
Back
Top Bottom