VIP wekeza kihalali kuanzia 10,000

VIP wekeza kihalali kuanzia 10,000

Kweli kabisa.

Wasiliana nami kwa whatsapp inakuwa wepesi kwangu kuliko hapa. Namba zangu ni 0625249605

Ahsante.
Weka mambo hadharani siyo kila mtu anatumia WhatsApp kiongozi. Mbona tangazo uliweka hadharani?
 
Samahani sana kama hautumii whatsapp, siingii humu mara kwa mara.

Tuna ajira za kazi tofauti. Tuna mafunzo tofauti yanaanza karibuni. Tuna viwanja tunauza. Tuna shule tunajenga. Tuna kiwanda tunajenga .

Hakuna sisi.

Ni ngumu kwangu kuwa humu mara kwa mara, ukitaka maelezo zaidi whatsapp 0625249605.
 
Sasa tumekuja na aina mpya kabisa ya ujenzi. Haijawahi kutokea Tanzania wala kwengine popote nijuavyo.

Hii ni empowrement. Kuwezesha.

Sasa tunawezesha kila mmoja kuweza kujenga nyumba kwa kujilimbikizia bidhaa za ujenzi kidogokidogo.

Tuna bidhaa za kipekee za kujengea na mafundi waliopata mafunzo ya kina. Ujenzi wa gharama nafuu. Unaanza kujenga kwa Shillingi 2,500 tu. Ndio. Sijakosea, Shillingi 2,500 tu unaanza ujenzi.

Mpango unaitwa Abraar Bricks Nyumba kwa Wote. Unasimamiwa na Madrassatul Abraar iliopo Vitendo, Misugusugu, Kibaha Pwani.

Kwa maelezo tumwa whatsapp 0625249605 kwa majibu ya haraka, hapa unaweza kuuliza lakini majibu yanaweza kuchelewa kwani siingii mara kwa mara kwenye mtandao.
 
Weka mambo hadharani siyo kila mtu anatumia WhatsApp kiongozi. Mbona tangazo uliweka hadharani?
Uliza tu upendacho nimesema whatsapp kwa kuwa siingii sana mtandaoni. Utuvumilie kwa hilo.
 
Pole sana ndugu yangu. Watu wanawekeza mamilioni. Pitia uwekezaji wetu ulioisha ujionee: Sasa tumewaletea uwekezaji mpya unaolipa kihalali

Subiri waje waliokwisha wekeza nasi wakutoe wasi.

Vitendo SACCOS tunafanya mageuzi ya uwekezaji. Miradi yetu ya halali na ipo wazi unaweza kuitembelea muda wowote kujionea 24/7.

Karibu sana VTS. Kwa maelezo zaidi piga au whatsapp 0625249605.
24/7 ni hatari, btw ninawapongeza sana VIP
 
24/7 ni hatari, btw ninawapongeza sana VIP

Sasa tumekuja na aina mpya kabisa ya ujenzi. Haijawahi kutokea Tanzania wala kwengine popote nijuavyo.

Hii ni empowerment. Kuwezesha.

Sasa tunawezesha kila mmoja kuweza kujenga nyumba kwa kujilimbikizia bidhaa za ujenzi kidogokidogo.

Tuna bidhaa za kipekee za kujengea na mafundi waliopata mafunzo ya kina. Ujenzi wa gharama nafuu. Unaanza kujenga kwa Shillingi 2,500 tu. Ndio. Sijakosea, Shillingi 2,500 tu unaanza ujenzi.

Mpango unaitwa Abraar Bricks Nyumba kwa Wote. Unasimamiwa na Madrassatul Abraar iliopo Vitendo, Misugusugu, Kibaha Pwani.

Kwa maelezo tumwa whatsapp 0625249605 kwa majibu ya haraka, hapa unaweza kuuliza lakini majibu yanaweza kuchelewa kwani siingii mara kwa mara kwenye mtandao.
 
Sasa tumekuja na aina mpya kabisa ya ujenzi. Haijawahi kutokea Tanzania wala kwengine popote nijuavyo.

Hii ni empowerment. Kuwezesha.

Sasa tunawezesha kila mmoja kuweza kujenga nyumba kwa kujilimbikizia bidhaa za ujenzi kidogokidogo.

Tuna bidhaa za kipekee za kujengea na mafundi waliopata mafunzo ya kina. Ujenzi wa gharama nafuu. Unaanza kujenga kwa Shillingi 2,500 tu. Ndio. Sijakosea, Shillingi 2,500 tu unaanza ujenzi.

Mpango unaitwa Abraar Bricks Nyumba kwa Wote. Unasimamiwa na Madrassatul Abraar iliopo Vitendo, Misugusugu, Kibaha Pwani.

Kwa maelezo tumwa whatsapp 0625249605 kwa majibu ya haraka, hapa unaweza kuuliza lakini majibu yanaweza kuchelewa kwani siingii mara kwa mara kwenye mtandao.
Ooh hongereni sana ngoja niingie whatsap nione.
 
Kupitia huu Uzi Kuna Mambo 3 nimeyaona humu
1.wekeza VIP kwa sh 10,000

2.kuna Mambo ya saccos
3 .Kuna ujenzi wa kuanzia sh 2500

Swali langu hivi vitu vyote vipo na vinaendelea kwa mtu kujiunga ?
 
Kuwekeza VIP sasa haipo. SACCOS hatujafanikiwa kuiunda kwa hiyo haipo. Tulikosa watendaji, idea ni njema sana lakini kidole kimoja hakivunji chawa.

WSasa tuliyonayo na inafanya vyema sana ni Abraar Bricks Nyumba kwa wote. Hii ipo na inasimamiwa na kuendeshwa na Madrassatul Abraar chini yangu.

Hili ni wazo la kipekee Tanzania, pengine na duniani. Sijawahi kuona wapi limefanyika kama hili.

Sasa Madrasaatul Abraar katika mpango huu, inakuwezesha wewe kujenga kwa kuanzia Shillingi 2,500 kudunduliza kwetu kidogo kidogo, kwa maana ukijiunga tayari inakuwa umenunua kifaa cha ujenzi kimoja, nalo ni jiwe lako la msingi la ujeni wa kisasa, gharama nafuu na ubora wa hali ya juu.

Pia mpango huu unawezesha vijana na kina mama kujifunza kazi za ujenzi kuanzia kuunda vifaa mpaka kujengea. Mafunzo bure na chakula cha mchana tunakupa, kwa wale ambao hawajui ufundi ujenzi kabisa.

Kwa wale ambao tayari mafundi ujenzi, tunawapa ujuzi wa ziada na tunawafundisha kutumia bidhaa mpya za ujenzi, tunawafundisha nidhamu za kazi za ujenzi, Kiufupi tunawanyanyua kutoka mafundi wa kawaida na kuwa mafundi bora. Bure na posho wanapata ya kujikimu kwa siku watazokuwa wanafunzi tena.

Mafunzo yetu ni ya muda mfupi sana na yenye matokeao mema sana kwa haraka kwa mwenye nia ya kujifunza.
 
@Faizafoxy bado yupo au alijitoa
 
@Faizafoxy bado yupo au alijitoa

Sina uakika haswa ni yupi mmojawapo anaejiita FaizaFoxy, lakini nahisi yupo.

Vitendo Saccos haijafanikiwa kabisa kuendelea kwa kukosa uongozi na zaidi ni kwa kanuni na shria za ushirika ambazo zunalazimisha kuwe na riba. Sisi tukashindwa kutilia mkazo kwa hilo kwani vitabu vya dini zetu vinatukataza kula riba. Pia . Ilikuwa ni one man show na jambo kubwa na zito kama hilo lilikuwa linahitaji watu wazoefu wenye mawazo chanya wa kuliendesha. Ni wazo jema sana

Mbadala wake sasa tunafanya kazi na biashara za kijamii, zambapo faida yote inayopatikana au niseme itayopatikana inarudi kuhudumia jamii. Ikisimamiwa na mimi binafsi na walioajiriwa tu, hatupo kama kikundi cha ushirika.

Tuna mipango mizuri sana, tumeianzisha na inaendelea vizuri.

1) Tumeanza na Madrassa ya Qur'an

2) Tumefanikiwa kubadili na kujenga msikiti kwenye banda ambalo hapo awali (wakati wa Vitendo Saccos) lilikuwa ni uwekezaji wa banda la Video, kuonesha mipira na movies.

3) Tumefanikiwa kuanzisha kijiji kinaitwa Village Abraar, ambapo mtu anaweza kujinunulia viwanja kwa gharama nafuu na malipo kidogo kidogo bila riba.

4) Tumefanikiwa kuanzisha darasa la ufundi wa kuunda vifaa vya ujezi na ujenzi kwa vitendo (practical). Linaendeshwa kwa pesa tunazouza viwanja na ha wanafunzi wanajifunza bure kabisa, bila malipo aina yoyote.

5)(Tumefanikiwa kuanzisha mpango wa Abraar Nyumba kwa Wote. Ambao ni wa kipekee duniani. Unaanza kujenga kwa kuanzia na kujiunga kwenye mpango huu kwa Shillingi 2,500 tu. Hakuna riba hakuna interest.

6) Pia tumeanzisha mpango wa Sadaka huanzia Nyumbani. Ambao umelenga sadaka zetu zianze kuelekezwa kwa watoto zetu na wake zetu nyumbani kwa kuwawekezea kwenye kuwajengea kwa kuanzia kuwalimbikizia Shillingi 2,500 tu/

Kumbuka kuwa Shillingi 2,500 zinakununulia "jiwe la msingi" la kuanza ujenzi. Inakuwa umeshajijenga kisaikolijoia kuwa umeanza ujenzi. Na sisi hapa Abraar tunakuwa tumeshapata mteja.

Abraar hakuna longo longo, kila kitu kimenyooka. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0625249605 Abdul Ghafur.
@Faizafoxy bado yupo au alijitoa
 
Back
Top Bottom