Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
- #21
Janja janja tu
Upo sahihi 100%.
Biashara ni ujanja. Asikudangaye mtu kuwa biashara ni jinga jinga tu.
Kuwa janja kuwa VIP, jiunge na VTS.
Janja janja tu
Karibu sana.Hawa Vitendo wako vizuri sana,nimewahi kuwatembelea,na ninawakubali sana,sijui kwa nini mpaka leo sijajiunga,toka niwatembelee sijatulia kwa kazi,zilivyonizunguka,lakini tuombe uhai na uzima,itabidi niwatembelee tena na kujiunga,wako vizuri sana.
NCHI YA VIWANDA! WATU WANAKUJA NA UBUNIFU MBALIMBALI.MIMI NINGEKUSHAURI UNGEWEKA KWANZA PHYSICAL ADDRESS YA OFISINI KWENU NA TUJUE OFISI YENU IPO WAPI.REGISTRATION CERTIFICATE,TUPIA MAJINA YA VIONGOZI WENU KWANI SIKU HIZI MAISHA YAMEBADIRIKA NJAA KALI.MTU KUTUMA SHS ELFU KUMI KWENYE NAMBA YA SACCOS ISIYOJULIKANA NI NGUMU MKUU
SAFI ! NIMEKUPATAMwekezaji ni mimi personally. Na unaweza kututembelea. Usiwekeze bila kujikinaisha.
Physical address yetu ni: Vitendo, House. Misugusugu, Kibaha, Pwani. Mtaa wa Vitendo.
Mobile 0625249605.
Karibu sana uwe VIP.
Kiongozi Mimi sina hela ya kuwekeza ila naomba tu uniajiri kama operator Wa hiyo excavator.Mwekezaji ni mimi personally. Na unaweza kututembelea. Usiwekeze bila kujikinaisha.
Physical address yetu ni: Vitendo, House. Misugusugu, Kibaha, Pwani. Mtaa wa Vitendo.
Mobile 0625249605.
Karibu sana uwe VIP.
Kiongozi Mimi sina hela ya kuwekeza ila naomba tu uniajiri kama operator Wa hiyo excavator.
Karibu sana.SAFI ! NIMEKUPATA
Ni poa sana, kwani hiyo mashine IPO na haina operator au bado mradi haujaanza?Jiunge na SACCOS yetu. First priority wanapewa members wa VTS.
Ni poa sana, kwani hiyo mashine IPO na haina operator au bado mradi haujaanza?
Sawa kiongozi, nitacheki na mawasiliano ulioweka kama patakuwa na uhitaji.Mashine ipo yupo operator mmoja ambae hatoshi kwani tunategemea kuifanyisha kazi masaa 16 hadi 18 kwa siku.
Kazi haijaanza tunangoja parts kutoka UK.
Nimefurahishwa, naona unatufatilia sana maana huu uzi sio wa mradi wa excavator. Ule tulishafunga uwekezaji wake.Kiongozi Mimi sina hela ya kuwekeza ila naomba tu uniajiri kama operator Wa hiyo excavator.
Ni kweli kiongozi, mi baada ya kuona mnafunga uwekezaji nikaona sasa kazi inabidi ianze na wafanyakazi ndo sisi!Nimefurahishwa, naona unatufatilia sana maana huu uzi sio wa mradi wa excavator. Ule tulishafunga uwekezaji wake.
Ni kweli kiongozi, mi baada ya kuona mnafunga uwekezaji nikaona sasa kazi inabidi ianze na wafanyakazi ndo sisi!
After 6month mradi/SACCOS inakua imekufa/imemaliza kazi yake au itaendelea so nitaweza ku renew tena??Laki tano jumlisha faida laki mbili na nusu. Ndani ya wiki 26.
5,000 ndani ya miezi 6 kwa nilivyoelewaAisee kwa hiyo kwa mfano nikiweka buku ten..faida ni ngapi
anhaa kwa hiyo nikiweka 1M napata kilo 5 au sio kwa miezi sita?5,000 ndani ya miezi 6 kwa nilivyoelewa
Unapata faida isiopungua 50% kwa miezi sita.
Faida kama Faida utapata 500,000/=, ila sasa sijaelewa kama utapata hiyo hiyo 500,000/= tu au inaweza kuongezeka. Maana kuna mahali amesema ISIYOPUNGUA 50%, so pengine inaweza kuzidi piaanhaa kwa hiyo nikiweka 1M napata kilo 5 au sio kwa miezi sita?
Sawa sawa, malipo unachagua, kila wiki, kila mwezi, kila miezi... au mpaka miezi sita.anhaa kwa hiyo nikiweka 1M napata kilo 5 au sio kwa miezi sita?