VIP wekeza kihalali kuanzia 10,000

VIP wekeza kihalali kuanzia 10,000

Yaani unafikiri kipindi hiki kuna mtu wa kutuma elf kumi kirahisi hivyo,
Bora mwenzako wa KUSAIDIANA ONLINE SACCOS,
yeye mtu anajiunga elf mbili then unachangia elf moja kila wiki Na baada ya mwezi unakopa Mara mbili ya akiba yako!
 
Pole sana ndugu yangu. Watu wanawekeza mamilioni. Pitia uwekezaji wetu ulioisha ujionee: Sasa tumewaletea uwekezaji mpya unaolipa kihalali

Subiri waje waliokwisha wekeza nasi wakutoe wasi.

Vitendo SACCOS tunafanya mageuzi ya uwekezaji. Miradi yetu ya halali na ipo wazi unaweza kuitembelea muda wowote kujionea 24/7.

Karibu sana VTS. Kwa maelezo zaidi piga au whatsapp 0625249605.
 
Yaani unafikiri kipindi hiki kuna mtu wa kutuma elf kumi kirahisi hivyo,
Bora mwenzako wa KUSAIDIANA ONLINE SACCOS,
yeye mtu anajiunga elf mbili then unachangia elf moja kila wiki Na baada ya mwezi unakopa Mara mbili ya akiba yako!
Hao wa online ndo wale wanaoingia mitini mwisho wa siku ..fungua thread mpya uwaandike ..na utoe maelezo,anwani yao, wamesajiliwa wapi, ofisi zao zipo wapi
 
Tuko Misugusugu, Kibaha Mkoa wa Pwani, mtaa wa Vitendo. Miradi yetu ipo wazi na tunakushauri kabla ya kuwekeza uje kutuona na kujionea mwenyewe miradi yetu.

Kuwa online siku hizi hakukwepeki ndio maendeleo na sisi tunayatumia kwa faida ya wengi.
 
Mr Abdul sjakujibu wewe ...nimemjibu huyo mwingine anaye advertise online saccos yake na kusema sio rahisi mtu kutuma elfu 10, nimemshauri nimemwambia afungue thread yake mpya aelezee hio ya kwake na atoe maelezo na sio kuitangaza kwenye thread yako inakua sio uungwana.
 
Unisamehe haya mambo ya jamii anaeweza Bi Zainab Tamim.
 
Back
Top Bottom