well saidHiyo ni tabia ya kanisa ulilokwenda wewe, hivyo usihalalishe kwamba hiyo ni tabia ya Makanisa.
Habari za kufikirika!
Lete ushahidi
naomba niyataje hayo makanisa na VIP seats.
1.AZANIA FRONT
EDWARD LOWASA HUYU ALIPEWA KITI CHA MBELE KUSHOTO
2.SAINT JOSEPH CATHEDRAL NA SOME TIMES SAINT PETERS OYSTERBAY.
BENNY MKAPA MBELE KULIA
Mwongo wa kutupwa Benny anasali St Imakulata - Upanga
Mkuu ushahidi si huo amekutajia hayo makanisa na siti zake!
Sasa wewe jaribu kwenda na kukaa kwenye hizo siti, then tuone kama utanyanyuliwa au la.
Exactly na hata kama ni kweli alipewa ilikuwa kama heshima kiongozi amekuja kusalimu!!!!stop complicating life!!!!Mwongo wa kutupwa Benny anasali St Imakulata - Upanga