Mapokeo yasiwe mzigo ndani ya Makanisa

KANYEGELO

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
2,150
4,754
Kwenye kanisa la pale mwenge na matawi yake yote nchini kama ungekuwa ushauri wangu ningetoa maoni waiangalie kwa upya swala la zaka La sivyo umekuwa ni mzigo ambao watu wamebebeshwa ila hawana pa kusemea.
Imewekwa sheria ya KULIPA zaka kila jumapili ya mwisho wa mwezi,ukipitiliza inazidishwa mara tatu .

Na sheria hiyo ni lazima ulipe hiyo zaka ,usipolipa inazidishwa mara tatu, yaani kama zaka yako ni milioni moja ukipitiliza mwezi husika inabidi ulipe milioni nne .Yaani itapigwa milioni moja mara tatu na JUMLISHA na milioni moja unayotakiwa KULIPA

Na usipolipa unakufa kizaka na hutapata huduma zozote za kichungaji hata kama utaumwa,utalazwa,au vyovyote hutapata huduma za kichungaji.

Sasa huyu mwanamke alipitiloza ,deni likawa kubwa....Kwa kuwa alizidi kudaiwa na lilipokuwa kubwa ni kama alipata nafasi ya kujitafakari na kuona kama mbona ni kama ni mateso wakati kutoa ni kwa hiari na upendo??

Akaona hata wacha ahame kanisa.....Na kwa kawaida ukihama kanisa huko unakuwa ni muasi...akaonekana ni muasi,na hata mumewe akamuona anaishi na muasi hakukubaliana na uasi wa mke ambaye mara nyingi alihoji ni vipi zaka imekuwa kama ni kifungo au toza za TRA! kila akiombwa anajibu hana hela na kumbe akaingia gharama ya kamlipia deni lote mkewe,na amekuwa akimwambia mkewe hakuna mahali popote wanapofundisha injili ya kweli zaidi ya hapo full gospel
Wengine wote ni manabii wa uongo na wanaenda motoni

Mwanamke analipiwa pesa ila moyo unamuuma kwasababu anaona kama anatapeliwa......anachojua fika ni kwamba hakuna sadaka za aina hiyo kwa Mungu za kukabana na riba kubwa tofauti na biblia isemavyo.

"Mume wangu anazidi kupeleka pesa na kwamba deni bado halijaisha zinaenda huko imekuwa kama saccos sasa .
Na ni bola hata saccos ukitaka kukopa unaenda kukopa na ukapewa mkopo ,kuliko hivyo"

Mwanamke ndoa yake iko hatihati maana anaambiwa na mumewe

1. AMEANZISHA VITA DHIDI YAKE KAMA MUME
2.DHIDI YA KANISA LA (F......)
3.DHIDI YA ASKOFU MKUU
4.DHIDI UA MAFUNDISHO YA KANISA HILO
5.DHIDI YA MUNGU WANAYE MWAMINI

"SASA VITA HII UMEANZISHA WAULIZE WALIO FANYA VITA NA MIMI KUPINGA IMANI,MUNGU NINAYEMTUMIKIA ATAKUJIBU" maneno ya baba kwa mama.

Swala la zaka pale full gospel hata kama mapato yako yamepungua unaambiwa uza vyote ,hakuna kupunguza kiwango Cha makadilio uliyopangiwa,na vilevile katika ulipaji katika kile kiasi ulichopangiwa inapaswa ulipe ndani ya mwezi mpaka jumapili ya mwisho wa mwezi husika na usipolipa ndio unapigwa penati mara tatu kipa akiwa hayupo.

Na hapo Kuna changizo pia Kila mwezi ,kanuni ya changizo unalipa nusu ya zaka .Yaani kama zaka ni milioni moja ,changizo ni laki tano ,Hivyo inakulazimu Kila mwezi milioni moja na nusu bila kukosa ,ukirukisha inajizidisha mara tatu

Kabla ya kuanza KULIPA Kuna fomu unajaza ,kuhusu mapato yako Kisha unakadiriwa kadirio la juu kuwa utalipa kiasi Fulani. Na kama labda umepoteza kazi,au biashara zimeyumba huruhusiwi kupunguza zaka ,unaambiwa uza vyote.....

Huyu dada anasema
"Kilichoniumiza ni kwamba nimehama,lakini Mume Wangu ananiambia nimeasi ,yaani nimerudi nyuma katika wokovu....Ni mtu mwenye pesa lakini nanyimwa pesa mimi, anatuma huko katika account kile kiasi ambacho nilikadiriwa.

#My_take
Utoaji wa aina hii hauna tofauti na ule wa kujimaliza pale kawe ingawa pale ni afadhali maana hulazimishwi ila unatoa Kwa hiari sawa na ulivyoamini fundisho.

Hauna tofauti na ule wa Ngomeni pale kimara

Mimi sipingi utoaji wa zaka ila nasisitiza watu watoe kwa upendo na kwa hiari yao ili baraka ziwaendee kikamilifu kuliko utoaji wa torati wa aina hii.....
Mzee Kakobe anapiga penati za zaka kuliko hata torati ilivyosema.

Eti kuna watumishi wanapiga mpaka simu kwa washirika kudai zaka?
Hivi wanaieleweje biblia? Mbona watumishi mnajiweka maungo wazi kwa kitu kinaitwa pesa??

Ndio maana watoaji wa zaka wengi kwenye mifumo ya aina hii wanapitia hali ngumu sana......watoaji wa zaka jifunzeni kumhusisha na kumsikiliza Mungu kwenye utoaji wa fungu la kumi mtakuja kunishukuru niko nimekaa pale. Kuna watu mtaambiwa pale usipeleke zaka ila peleka pale.

Kumbukumbu 12
¹³ Ujihadhari usitoe sadaka zako zako katika kila mahali upaonapo;
¹⁴ bali katika mahali atakapopachagua Bwana ndipo utakapotoa sadaka zako, ndipo utakapotenda yote nikuamuruyo.

HALAFU ZAKA HATULIPI JAMANI,TUNATOA KWA MOYO WA KUPENDA,NDANI YA ZAKA KUNA SHUKRANI JUU YA YOTE ATUTENDEAYO BWANA. WEWE UNALIPA TOZO NDIO MAANA HAZIPOKELEWI, HAKUNA MTU MIONGONI MWENU MWENYE KUMLIPA MUNGU CHOCHOTE HAPA DUNIANI.
FB_IMG_1667051196041.jpg
 
Haya Makanisa yamejaa kama uyoga serikali ianze kuwalipisha kodi utaona yatafungwa yote na familia zitakuwa na amani na ndoa zitapona
 
Yani nimehuzunishwa utafikir Mimi ndio kaka WA huyo dada

Wakristo Mnakwama Wapi

Riba Mungu amekataza lkn wachungaji ndio wanatoza riba,dah poleni Sana jamani

Waislamu tunatoa zaka Kwa mwaka mara moja tena kama kiwango husika kitatimia

Tena hiyo hela iwe imekaa mwaka mzima Bila kutumika ndio inatolewa zaka,kiwango kiwe kimefikia thamani ya gram 85 za dhahabu.

Kwa makadirio ni kama milioni 8 au 9 halafu unatoa asilimia Kumi,kama 800,000 au 900,000

Kwahiyo zaka ni Kwa wenye uwezo,maana INA mahesabu maalum

Jamani Mungu hayupo kuwafanya waja wake wapate shida.

Poleni Sana ndugu zetu.
 
Wajinga ndio waliwao na ndio waliao.
Tangu ameanzisha kanisa ni upigaji tu.
Wanawake walipeleka vitu vyao vya dhahabu eti hawapaswi kuvaa dhahabu. Safari jewelry ndio alikuwa mnunuzi mkuu.
Wacha wakomeshwe.
 
Yani nimehuzunishwa utafikir Mimi ndio kaka WA huyo dada

Wakristo Mnakwama Wapi

Riba Mungu amekataza lkn wachungaji ndio wanatoza riba,dah poleni Sana jamani

Waislamu tunatoa zaka Kwa mwaka mara moja tena kama kiwango husika kitatimia

Tena hiyo hela iwe imekaa mwaka mzima Bila kutumika ndio inatolewa zaka,kiwango kiwe kimefikia thamani ya gram 85 za dhahabu.

Kwa makadirio ni kama milioni 8 au 9 halafu unatoa asilimia Kumi,kama 800,000 au 900,000

Kwahiyo zaka ni Kwa wenye uwezo,maana INA mahesabu maalum

Jamani Mungu hayupo kuwafanya waja wake wapate shida.

Poleni Sana ndugu zetu.
Upo sahihi. Mungu sio mkatili kiasi Cha kutaka umtolee Hadi mtaji. Sasa ukushajipukutisha hivo utajuaje km umebarikiwa?
Sema Mungu hapendi wapumbavu
 
Just imagine,huna kazi au biashara unaambiwa uza vitu vyako dah!

Hatar sana
 
Nira ya udini ikikukamata..utatubu. Hapa ndo nazidi kuprove kwanini shetani alimuambia Mungu atapata 1/3 ya watu au pungufu yake...udini, udhehebu umefunga wengi sana.

Nira iliyokamata hiyo familia si ndogo. Basi fungua hata neno la Mungu..tafuta maagizo kwa Kristo kama your master wapi..sio biblia iliyosema tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote...katika Ebr 12:14.

Watu wote inludes mume au mke..na watoto. Lakini udhehebu unamzuia huyo mwanaume kutatua jambo na mke wake. Where is the family unity hapa??? Kama kuna watu moto utawapata uzuri ni wote waliomezwa na hili janga. Maana watahisi wanamtumikia Mungu au wako sawa kumbe shetani katupeleka kwenye extremism.
 
Kweli mkuu
 
Kwenye kanisa la pale mwenge na matawi yake yote nchini kama ungekuwa ushauri wangu ningetoa maoni waiangalie kwa upya swala la zaka La sivyo umekuwa ni mzigo ambao watu wamebebeshwa ila hawana pa kusemea.
Imewekwa sheria ya KULIPA zaka kila jumapili ya mwisho wa mwezi,ukipitiliza inazidishwa mara tatu .

Na sheria hiyo ni lazima ulipe hiyo zaka ,usipolipa inazidishwa mara tatu, yaani kama zaka yako ni milioni moja ukipitiliza mwezi husika inabidi ulipe milioni nne .Yaani itapigwa milioni moja mara tatu na JUMLISHA na milioni moja unayotakiwa KULIPA

Na usipolipa unakufa kizaka na hutapata huduma zozote za kichungaji hata kama utaumwa,utalazwa,au vyovyote hutapata huduma za kichungaji.

Sasa huyu mwanamke alipitiloza ,deni likawa kubwa....Kwa kuwa alizidi kudaiwa na lilipokuwa kubwa ni kama alipata nafasi ya kujitafakari na kuona kama mbona ni kama ni mateso wakati kutoa ni kwa hiari na upendo??

Akaona hata wacha ahame kanisa.....Na kwa kawaida ukihama kanisa huko unakuwa ni muasi...akaonekana ni muasi,na hata mumewe akamuona anaishi na muasi hakukubaliana na uasi wa mke ambaye mara nyingi alihoji ni vipi zaka imekuwa kama ni kifungo au toza za TRA! kila akiombwa anajibu hana hela na kumbe akaingia gharama ya kamlipia deni lote mkewe,na amekuwa akimwambia mkewe hakuna mahali popote wanapofundisha injili ya kweli zaidi ya hapo full gospel
Wengine wote ni manabii wa uongo na wanaenda motoni

Mwanamke analipiwa pesa ila moyo unamuuma kwasababu anaona kama anatapeliwa......anachojua fika ni kwamba hakuna sadaka za aina hiyo kwa Mungu za kukabana na riba kubwa tofauti na biblia isemavyo.

"Mume wangu anazidi kupeleka pesa na kwamba deni bado halijaisha zinaenda huko imekuwa kama saccos sasa .
Na ni bola hata saccos ukitaka kukopa unaenda kukopa na ukapewa mkopo ,kuliko hivyo"

Mwanamke ndoa yake iko hatihati maana anaambiwa na mumewe

1. AMEANZISHA VITA DHIDI YAKE KAMA MUME
2.DHIDI YA KANISA LA (F......)
3.DHIDI YA ASKOFU MKUU
4.DHIDI UA MAFUNDISHO YA KANISA HILO
5.DHIDI YA MUNGU WANAYE MWAMINI

"SASA VITA HII UMEANZISHA WAULIZE WALIO FANYA VITA NA MIMI KUPINGA IMANI,MUNGU NINAYEMTUMIKIA ATAKUJIBU" maneno ya baba kwa mama.

Swala la zaka pale full gospel hata kama mapato yako yamepungua unaambiwa uza vyote ,hakuna kupunguza kiwango Cha makadilio uliyopangiwa,na vilevile katika ulipaji katika kile kiasi ulichopangiwa inapaswa ulipe ndani ya mwezi mpaka jumapili ya mwisho wa mwezi husika na usipolipa ndio unapigwa penati mara tatu kipa akiwa hayupo.

Na hapo Kuna changizo pia Kila mwezi ,kanuni ya changizo unalipa nusu ya zaka .Yaani kama zaka ni milioni moja ,changizo ni laki tano ,Hivyo inakulazimu Kila mwezi milioni moja na nusu bila kukosa ,ukirukisha inajizidisha mara tatu

Kabla ya kuanza KULIPA Kuna fomu unajaza ,kuhusu mapato yako Kisha unakadiriwa kadirio la juu kuwa utalipa kiasi Fulani. Na kama labda umepoteza kazi,au biashara zimeyumba huruhusiwi kupunguza zaka ,unaambiwa uza vyote.....

Huyu dada anasema
"Kilichoniumiza ni kwamba nimehama,lakini Mume Wangu ananiambia nimeasi ,yaani nimerudi nyuma katika wokovu....Ni mtu mwenye pesa lakini nanyimwa pesa mimi, anatuma huko katika account kile kiasi ambacho nilikadiriwa.

#My_take
Utoaji wa aina hii hauna tofauti na ule wa kujimaliza pale kawe ingawa pale ni afadhali maana hulazimishwi ila unatoa Kwa hiari sawa na ulivyoamini fundisho.

Hauna tofauti na ule wa Ngomeni pale kimara

Mimi sipingi utoaji wa zaka ila nasisitiza watu watoe kwa upendo na kwa hiari yao ili baraka ziwaendee kikamilifu kuliko utoaji wa torati wa aina hii.....
Mzee Kakobe anapiga penati za zaka kuliko hata torati ilivyosema.

Eti kuna watumishi wanapiga mpaka simu kwa washirika kudai zaka?
Hivi wanaieleweje biblia? Mbona watumishi mnajiweka maungo wazi kwa kitu kinaitwa pesa??

Ndio maana watoaji wa zaka wengi kwenye mifumo ya aina hii wanapitia hali ngumu sana......watoaji wa zaka jifunzeni kumhusisha na kumsikiliza Mungu kwenye utoaji wa fungu la kumi mtakuja kunishukuru niko nimekaa pale. Kuna watu mtaambiwa pale usipeleke zaka ila peleka pale.

Kumbukumbu 12
¹³ Ujihadhari usitoe sadaka zako zako katika kila mahali upaonapo;
¹⁴ bali katika mahali atakapopachagua Bwana ndipo utakapotoa sadaka zako, ndipo utakapotenda yote nikuamuruyo.

HALAFU ZAKA HATULIPI JAMANI,TUNATOA KWA MOYO WA KUPENDA,NDANI YA ZAKA KUNA SHUKRANI JUU YA YOTE ATUTENDEAYO BWANA. WEWE UNALIPA TOZO NDIO MAANA HAZIPOKELEWI, HAKUNA MTU MIONGONI MWENU MWENYE KUMLIPA MUNGU CHOCHOTE HAPA DUNIANI.View attachment 2401250
Mim kanisa la namna hyo siwez kusali.
Ety kuna mmja alikua ananambia ety sadaka ya ujenzi familia yao wamepangiwa mil moja....eeeh nkamuuliza mbona bei kubwa hivo ananambia wakija kweny jumuia kila siku wanachunguza wakijua pesa unayo imekula kwako.
Nikasema mim si ningepangiwa elf kumi kwa mwaka
 
Huduma ya kichungaji wkti ushakufa...🤣🤣.hapa ndio dini ilipotuteka,baada ya kupigania maisha Safi yanayompendeza muumba ukiwa hai, ww unaogopa utazikwaje?
 
Kadri kundi linavyokuwa dogo ndivyo umbea na kuchunguzana kunavyozidi. Kwa makanisa makubwa hapa Bongo umbea upo kwenye kwaya, kamati, jumuia n.k Kwenye makanisa madogo migogoro ipo kwenye kanisa lenyewe na chanzo chake ni pesa ya kulazimishana ila waumini hawaongei kwa kuogopa kifukuzwa au kuogopa kurudi kwenye makanisa waliyohama.
 
Mkuu wanasepiga simu na wanaharakisha sana uwapelekee mali,
Tena kwa kelele nyingi sana na kugombezwa juu,
Ukishapeleka mali unaanza kudai unaambiwa haukutumika utaratibu rasmi wa kuagiza mali,hivyo wanasema ngoja liandaliwe dokezo ambalo linaweza chukua mwezi mzima
Baada ya hapo atakwambia dokezo linasainiwa,wiki mbili tena zinaisha
Unaambiwa hukushindanishwa na wazabuni wengine hivyo wataenda kwa wazabuni wengine ili kupata price quote,baadae utaambiwa mali ulizoleta zinawekwa katika ledger ,kisha wanabodi wasaini hayo mapokezi na kuandaliwa taarifa ya mapokezi ambapo kama huna unayemfahamu mahala hapo basi utatumia zaidi ya miezi miwili kufuatilia hayo ,sasa basi ili upate tena LPO itakulazimu uwasumbue sana na ukiwa na mkono mfupi bas unasahaulika hapo lah sivyo kila siku uache kazi na ufuatilie hilo
Ikitoka LPO utaambiwa inatakiwa kusainiwa na wahusika watatu napo ni muda unahitajika,ikiisha hiyo iandikiwe vocha sjui ili ilipwe
Hawa watu wanakera sana saana
 
Back
Top Bottom