VIP makanisani.....

VIP makanisani.....

Ndiba Benny tuko nae upanga ukimwona st joseph au peter`s kuna ibada maaluum
sasa aseme hapa upanga kiti chake ni kipi?

Nilitegemea angenitajia haya makanisa yaliyoibuka siku hizi hizi.
Lakini kwa hayo ya St.Joseph na Peter's. mmmh mmmh.
 
Hii mbona mpya sana kanisa lini siti maalum? kweli mambo yamebadilika sana
 
naomba niyataje hayo makanisa na VIP seats.

1.AZANIA FRONT

EDWARD LOWASA HUYU ALIPEWA KITI CHA MBELE KUSHOTO

2.SAINT JOSEPH CATHEDRAL NA SOME TIMES SAINT PETERS OYSTERBAY.

BENNY MKAPA MBELE KULIA

Mimi nilikuwa msharika wa Azania Front wakati BM akiwa Rais, na Lowassa waziri. Lowassa alikuwa anakaa upande wa kulia, but not special seat. Yes Anna Mkapa alikuwa anakaa kushoto, si kwa sababu ya Sadaka ila usalama wake kama first lady. Certainly naamini hata Makapa aliwekwa hapo kutokana na status yake siyo mchango wake.
 
Ndo mambo ya Duniani hayo, watu wanakwenda VITANI kuua wenzao eti wanaombewa na Pastor/padri/mchungaji ili waende kuua vizuri hahahha sijui km tuliagizwa namna hii
 
Wewe unasubiri nn hapo tena ushaambiwa unaweza kulipa 250,000 kama sadaka? Wengine ss ndio salary tunategemea tupate fungu la kumi na msosi hapo! Kama ni mm narudi tu home nikamwome Mungu naamini atasikiliza sala zangu.
 
Dini imeingiliwa shetani anafanya anavyo taka yaani kama ilivyo andikwa fisi kavaa ngozi ya kondoo
 
naomba niyataje hayo makanisa na vip seats.

1.azania front

edward lowasa huyu alipewa kiti cha mbele kushoto

2.saint joseph cathedral na some times saint peters oysterbay.

benny mkapa mbele kulia

he kumbe unaongelea hawa ambao kila wanakoenda wako chini ya ulinzi
no coment
 
nenda mikocheni kwa mama,dr,mchungaji,mheshimiwa kajaribu kukaa kitic chochote cha mbele kama hujaambiwa we! kakae kuleeeee nyuma na usirudie tena kukaa hapa,hapa wapo wenyewe
 
Ni woga wa baadhi ya waumini kukaa viti vya mbele makanisani kwani wanataka watoke kabla ya muda wa misa kwisha.

Lakini vilevile mazoea ya kuona watu wanakaa viti fulani

Kwa mfano mimi nina kiti changu nyuma kabisa huwa akalii mtu unless nimechelewa sana kufika ibadani
 
Wadau, hivyi mnajua kuna makanisa yametenga siti maalum kwa watu (VIP) fulani n ukikaa hizo siti lazima utanyanyuliwa. Ukiuliza sababu unaambiwa wewe utaweza kulipa 250,000 kila jumapili kama sadaka? hivyi dini ndiyo imekuwa biashara kiasi hicho?

Heshima kwako Mbogela,

Hili jambo lipo na nimewahi kulishuhudia mara nyingi.Mfano mzuri ni KKKT Usharika wa mjini kati.Viti vya mbele vinakaliwa na wafanyabiashara wakubwa au viongozi wenye vyeo vya juu serekalini eg RPC,RCO,RAS na nk.Hakuna sheria inayokataza waumini wa kawaida kukaa viti vya mbele isipokuwa kuna utaratibu wa siri unaowahakikishia vigogo wanakaa viti vya mbele.

Waumini wa usharika wa mjini kati ni mashaidi wa hii kitu,wapo wafanyabiashara wakubwa kama Mzee Mshiu kila j2 lazima aketi kiti cha mbele.Aliewahi kuwa RPC Arusha Afande Kombe alikuwa akikaa kiti cha mbele pia RAS jinaimelisahau alikuwa akikaa kiti cha mbele.
 
Tuambie ushawahi kukaa wanapokaa ukafukuzwa!?? Hii mimi naona ni mazoea tu mtu unakuwa umezoea kukaa sehemu moja mpaka hata wasahrika wenzanko wanacram kama ni siti yako!!!
 
Kwa kweli makanisa na misikiti siku hizi ni bomu kabisa.Ukiwa na pesa utapewa kipaumbele...masikini hawana chao..
 
wadau, hivyi mnajua kuna makanisa yametenga siti maalum kwa watu (vip) fulani n ukikaa hizo siti lazima utanyanyuliwa. Ukiuliza sababu unaambiwa wewe utaweza kulipa 250,000 kila jumapili kama sadaka? Hivyi dini ndiyo imekuwa biashara kiasi hicho?

usimushuhudie jirani yako uongo
 
Kwa kweli makanisa na misikiti siku hizi ni bomu kabisa.Ukiwa na pesa utapewa kipaumbele...masikini hawana chao..
Ni rahisi Ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kurithi uzima wa milele. Watch out
 
Heshima kwako Mbogela,

Hili jambo lipo na nimewahi kulishuhudia mara nyingi.Mfano mzuri ni KKKT Usharika wa mjini kati.Viti vya mbele vinakaliwa na wafanyabiashara wakubwa au viongozi wenye vyeo vya juu serekalini eg RPC,RCO,RAS na nk.Hakuna sheria inayokataza waumini wa kawaida kukaa viti vya mbele isipokuwa kuna utaratibu wa siri unaowahakikishia vigogo wanakaa viti vya mbele.

Waumini wa usharika wa mjini kati ni mashaidi wa hii kitu,wapo wafanyabiashara wakubwa kama Mzee Mshiu kila j2 lazima aketi kiti cha mbele.Aliewahi kuwa RPC Arusha Afande Kombe alikuwa akikaa kiti cha mbele pia RAS jinaimelisahau alikuwa akikaa kiti cha mbele.

Naomba kutofautiana na wewe na kusema hiyo siyo kweli. Mimi ni muumini wa kawaida, na kwa maelezo yako unazungumzia Usharika wa Azania Front. Nina mfano wa kuthibitisha kuwa hilo unalosema siyo kweli. Miaka ya nyuma nilipata kutoa sadaka maalumu hapo usharika wa Azania. Kwavile tuliwahi sana kufika, tulikaa bench la mbele kabisa ili iwe rahisi ukifika wakati wa kwenda mbele tusipate usumbufu, HAKUNA aliyekuja kutuomba tutoke au tuhame. Utaratibu gani huo wa siri? Hebu weka wazi basi. Hapo nyuma nimeeleza kuwa kutokana na nafasi ya baadhi ya viongozi, ni kweli lazima watengewe nafasi maalum kwenye nyumba za ibada. Na naamini hii ni kwa madhehebu yote, na haina uhusiano na kiasi cha sadaka anayotoa mtu.
 
Back
Top Bottom