Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

Watatoka salama maana mabadiliko yanyotarajiwa kutokea nchi hii ni makusudi ya Mungu.......Wakishindwa kuafikiana tunawapigia kura sisi wanachama wenyewe kama walivyofanya NARC Kenya na kumsimamisha Raila Odinga mwaka 2007.
 
Emma Pamoja sana mkuu.

Hebu fanya kutujuza kinachoendelea hapo, tetesi tetesi zinasemaje hapo, Munkari wa Wananchi na Waandishi kupata habari toka mwenye tukio hilo ukoje? Kwenye vikao kama hivyo na hali ilivyo eti-eti huwa nyingi.., hapo pako vipi? Hebu fanya kutujuza mkuu.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
wanakuja uku soon
 

Attachments

  • 1436891259555.jpg
    1436891259555.jpg
    28.5 KB · Views: 648
Watatoka salama maana mabadiliko yanyotarajiwa kutokea nchi hii ni makusudi ya Mungu.......Wakishindwa kuafikiana tunawapigia kura sisi wanachama wenyewe kama walivyofanya NARC Kenya na kumsimamisha Raila Odinga mwaka 2007.

Dalili ya kumsingizia Mungu ndio maana ata unajithibitisha kwa maelezo hayo ya uongo.
 
Tumaini Makene umejivisha cheo cha kurugenzi ya habari ya UKAWA mbona unakaa kimya kiasi hiki bila kuripoti kinachojiri hapo hotelini? Hiyo futari gani isiyoliwa ikaisha??
Tunataka update hata kama hali ni ngumu humo mjengoni.

we jamaa umenichekesha sana
 
Last edited by a moderator:
Wamekushikilia hapo kufuatilia habari zao?
Unajipa presha kwa mambo yasiokuhusu.
Hivi hawa watu si wapo ili kuwa-convince watanzania ili waweze kuwaongoza ? Au wakichukua nchi wataongoza baadhi ya watu na sio watanzania wote ? Au hizi habari ni kwa ajili ya nani na nani hausiki.. ?

Unapokuwa Chama cha Siasa na upo tayari kuongoza watu inabidi usiwatenge sababu hata adui zako bado ni Watanzania
 
Back
Top Bottom