Viongozi wakuu wa UKAWA watazungumza na waandishi wa habari jioni hii Colosseum Hotel

Hao Ukawa hana ubavu wa kurusha live mchakato wao maana ni ugole na ufitina mkubwa.
Nasema hv maana hao NLA, NCCR & CUF wamefunga ndoa na Chadema wasio ijua. Kwa ufupi Chadema wanataka wao wawe ma dorminator na hao wengine wasiambulie kitu na ndo maana msemo wao ni "Chadema tukamate dola" na sio Ukawa.

Km unabisha waambie waoneshe huo mchakato wao live, pili ni sera hipi watatekeleza?
 
Kweli, ndio maana hata taarifa zinatolewa na Tumaini Makene wa Chadema. Kajiteua kuwa Nape wa UKAWA.
 
nipo hapa Colosseum,hivi mbona kuna wahudumu wa kifilipino kadha,kuna uhusiano gan!?
 
sema:-

nimechoka kuuawa, nimechoka kuibiwa, nimechoka kuteswa na kunyanyaswa ndani ya
nchi yangu, nimechoka kuitwa mpinzani nimechoka kudharauliwa.

Sitaki tena utumwa ndani ya nchi yangu, sasa ni mimi na tanzania hapana ccm
octoba 2015

We Makene hebu endelea na vi up dates vidogo vidogo utupoze tunahamu ya kujua hatma ya nchiyetu ambayo kwa sasa ni ukawa tu ndio tumaini letu.
Tumesubiri sana mkuu.
 
Back
Top Bottom